Uchaguzi 2020 Video: Profesa Lipumba apokelewa Dar akitokea Dodoma kuchukua Fomu ya Uteuzi

Uchaguzi 2020 Video: Profesa Lipumba apokelewa Dar akitokea Dodoma kuchukua Fomu ya Uteuzi

Kuna muda mtu ndo unang'amua elimu ya darasani sio kitu. Hata mtu unayemdharau mwenye elimu ya O level akawa na upeo mkubwa kuliko professor.

Lipumba wa kugombea Urais kweli?
Mkuu umenichekesha. Ila kugombea urais siyo mbaya. Tatizo liko kwenye kugombea urais kisakala namna hii! Huku ni kujishusha kupita kiasi. Kweli njaa huwa inakata mishipa yote ya aibu.
 
Kuna watu mnalilia demokrasia lakini bado mnataka chama chenu kiwe chama pekee cha upinzani mnashangaza
 
Lipumba anaoa lini? Je kwemye Fomu za kugombea urais kipengele cha kuwa na familia hakipo?
Mke wake yupo kwenye taasisi ambayo hairuhusu kushiriki kwenye mambo ya siasa ndo maana haambatani naye kabisa.​
Yupo huko anakula mpunga wa maana tu.​
 
Mke wake yupo kwenye taasisi ambayo hairuhusu kushiriki kwenye mambo ya siasa ndo maana haambatani naye kabisa.​
Yupo huko anakula mpunga wa maana tu.​
Hapa Sakaya anatosha
 
Kuna watu mnalilia demokrasia lakini bado mnataka chama chenu kiwe chama pekee cha upinzani mnashangaza
Kuna sehemu gani imeandikwa kuwa watu wanataka chama chao kiwe pekee zaidi ya nyinyi wana ccm?
 
Back
Top Bottom