Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Weka sasa hiyo vidMtu mmoja amemrushia kiatu Rais wa Kenya William Ruto wakati akizungumza na wananchi wa Kehancha, Kitongoji cha Migori ambapo leo alikuwa anazindua mradi wa nyumba 298 zenye nafuu kwa wananchi.
Kiatu hicho kilimkosa Rais Ruto ambaye aliendelea kuzungumza na wananchi wa eneo hilo bila kujali kilichotokea.
waTanganyika ni mambumbumbu. Mwenge unaozungushwa kila maeneo kila mwaka umeondoa fahamu za watuTangu Wakenya wapigane Mwaka 2007, raia wake wameshindwa kabisa kuwa waoga Kwa Viongozi wao
Tofauti na hapa nyumbani, ambapo raia anaweza kutekwa Mchana kweupe na wasiojulikana na raia wote kubaki kimya bila hata kuchukua hatua 🙌
Huku kwetu isingekuwa Mwl Nyerere kidai Uhuru hadi leo hii tungeendelea kuwa Chini ya UkoloniwaTanganyika ni mambumbumbu. Mwenge unaozungushwa kila maeneo kila mwaka umeondoa fahamu za watu
huku kwetu baso kidogo maana wanachoongea kinakeraMtu mmoja amemrushia kiatu Rais wa Kenya William Ruto wakati akizungumza na wananchi wa Kehancha, Kitongoji cha Migori ambapo leo alikuwa anazindua mradi wa nyumba 298 zenye nafuu kwa wananchi.
Kiatu hicho kilimkosa Rais Ruto ambaye aliendelea kuzungumza na wananchi wa eneo hilo bila kujali kilichotokea.
View attachment 3324644
Wale wako so real and wamenyooka no gamesKenyans siyo keyboard warriors,