Please please usifanye hivyo😃😃Kumbe inawezekana?goja na Mimi nije nifanye wa kwetu kutumia jiwe kama litamfikia
Please please usifanye hivyo😃😃
Hapo sawa mdauNi utani tu.sitafanya maana policcm wataninitesa sana nikufanya Hivyo.
Wanaenda kumgawana yaaniHuyu jamaa bado anapumua??
Jamaa anashabaha😅Mtu mmoja amemrushia kiatu Rais wa Kenya William Ruto wakati akizungumza na wananchi wa Kehancha, Kitongoji cha Migori ambapo leo alikuwa anazindua mradi wa nyumba 298 zenye nafuu kwa wananchi.
Kiatu hicho kilimkosa Rais Ruto ambaye aliendelea kuzungumza na wananchi wa eneo hilo bila kujali kilichotokea.
View attachment 3324644
Asee yule sijui watamfanyaje?. Maana hata jina lake wamelizuia kulitaja kwenye media ili wakamalizane nae vizuriAliyerusha ataokotwa shakahora siku si nyingi
Ruto ni mafia kuliko wanavyodhani
Kikwete pia alitiwa kabari jukwaani akajitetea na kuipangua kwa uwezo wake wa kimwanajeshiIlishatokea kwa wengi, Mfano Bush wa Marekani.
Papa Yohane
Hata Mzee Mwinyi aliwahi kupigwa kibao na ustaadhi mmoja. Aliishia kumwita mwendawazimu.
Aliyefanya kitendo hicho naye ni mwendawazimu
Ndio basi tenaAsee yule sijui watamfanyaje?. Maana hata jina lake wamelizuia kulitaja kwenye media ili wakamalizane nae vizuri