Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
HakikaKenya ni nchi ya hovyo sk zote tunajua. Tanzania huwezi ht kumkaribia Raisi. Proud of country
HakikaKenya ni nchi ya hovyo sk zote tunajua. Tanzania huwezi ht kumkaribia Raisi. Proud of country
Hilo tukio ni message nzuri sana: “We know you’re powerful, but we still can fight you in our own small ways”!Ni ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
vibaya kivipi?Sema wakenya uhuru wanautumia vibaya
kwanini kapigwaNi ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
Katiba ya Kenya.Ni ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
Kumbe ndiyo maana umepunguza sana kuonekana humu na vijimaneno vyako kama ilivyo zoeleka. Muda mwingi unautumia huko Kenya. Itapendeza ukibaki huko huko moja kwa moja..Ni ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
Mfano mzuri ni kwa Ibra wa Burkina Faso 🇧🇫Mishahara tunayowalipa wanaweza kujiwekea personal security, kama vipi wafanye yanayowapendeza watu hao watu ndio watakuwa walinzi wao
...hahahaaa. Sio wa 1 kurushiwa v2 toka mbinguni. Lkn nawaxifu, ingekuwa kwe2, huenda mabomu yangerindima toka kw wanaomlinda na chawa huxikaHakupigwa, kile kiatu kilidondoka kutoka kwenye ndege iliyopita gani.
Utaombaje hapa?Ni ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
Mkuu Pythagoras Salam.🤣🤣🤣 majirani wa moto!!!, ingekuwa kwetu daah huyo mtu aliyerusha kiatu sahivi angekuwa anawahidithia kina Magu na Nyerere huko
🤣 🤣 🤣Hakupigwa, kile kiatu kilidondoka kutoka kwenye ndege iliyopita angani.
Kama unao ushahidi wa picha ya mtu aliyevaa kiatu mguu mmoja weka hapa.🤣 🤣 🤣
Mimi sijaona kama kimempiga!Wakenya nimewakubali