VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu akihutubia Wananchi wa Kehancha

VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu akihutubia Wananchi wa Kehancha

Huku kwetu isingekuwa Mwl Nyerere kidai Uhuru hadi leo hii tungeendelea kuwa Chini ya Ukoloni

Maana nina uhakika akina Mwijaku na mwenzake Steve Nyerere wangeendelea kuwa Machawa wa Wakoloni🙌
Huyo Nyerere ndie Mharibifu wa ujasiri wa Mtanganyika.
 
Mtu mmoja amemrushia kiatu Rais wa Kenya William Ruto wakati akizungumza na wananchi wa Kehancha, Kitongoji cha Migori ambapo leo alikuwa anazindua mradi wa nyumba 298 zenye nafuu kwa wananchi.

Kiatu hicho kilimkosa Rais Ruto ambaye aliendelea kuzungumza na wananchi wa eneo hilo bila kujali kilichotokea.
View attachment 3324644
Hiyo katiba ya Kenya ni ya kijinga sana.
 
Silvio Berlusconi aliewai kung'olewa meno ya mbele kwa kurushiwa kipande Cha chuma mdomoni na raia
 
Mtu mmoja amemrushia kiatu Rais wa Kenya William Ruto wakati akizungumza na wananchi wa Kehancha, Kitongoji cha Migori ambapo leo alikuwa anazindua mradi wa nyumba 298 zenye nafuu kwa wananchi.

Kiatu hicho kilimkosa Rais Ruto ambaye aliendelea kuzungumza na wananchi wa eneo hilo bila kujali kilichotokea.
View attachment 3324644
GenZ hao.
 
Huyo Nyerere ndie Mharibifu wa ujasiri wa Mtanganyika.
Kwa ile slogan yake ya zidumu fikra za Mwalimu ama?

kwa kweli kile kizazi jeuri hakipo kabisa

Imagine lile tukio la yule jamaa anatekwa pale Kibaha huku wenzake wanamwangalia tu
 
Kwa ile slogan yake ya zidumu fikra za Mwalimu ama?

kwa kweli kile kizazi jeuri hakipo kabisa

Imagine lile tukio la yule jamaa anatekwa pale Kibaha huku wenzake wanamwangalia tu
Mkuu matokeo ya ugoigoi wa Watanzania wa leo yametengenezwa,Na mtengenezaji ni huyu Nyerere
 
Mkuu matokeo ya ugoigoi wa Watanzania wa leo yametengenezwa,Na mtengenezaji ni huyu Nyerere
Kuna kazi ya kufanya, otherwise ndiyo tunazidi kupotea kama Taifa

Jiulize miaka 30 ijayo tutakuwa na Taifa gani
 
Tangu Wakenya wapigane Mwaka 2007, raia wake wameshindwa kabisa kuwa waoga Kwa Viongozi wao

Tofauti na hapa nyumbani, ambapo raia anaweza kutekwa Mchana kweupe na wasiojulikana na raia wote kubaki kimya bila hata kuchukua hatua 🙌
Wewe unaona sawa kupigana kisa siasa za kikabila?
 
Ilishatokea kwa wengi, Mfano Bush wa Marekani.

Papa Yohane

Hata Mzee Mwinyi aliwahi kupigwa kibao na ustaadhi mmoja. Aliishia kumwita mwendawazimu.

Aliyefanya kitendo hicho naye ni mwendawazimu
Lakini yule alimpiga mwinyi kibano alichokula nadhani mpaka vitukuu vinasikia maumivu
 
Kikwete pia alitiwa kabari jukwaani akajitetea na kuipangua kwa uwezo wake wa kimwanajeshi
Haikuwa kabali, alitokea mtu kwa nyuma akaingiza mkono kati ya miguu ya kikwete akanyanyu mguu moja juu kwa lengo la kumuangusha! Kikwete alipapatua akamshinda na hajaanguka!
 
Haikuwa kabali, alitokea mtu kwa nyuma akaingiza mkono kati ya miguu ya kikwete akanyanyu mguu moja juu kwa lengo la kumuangusha! Kikwete alipapatua akamshinda na hajaanguka!
Duh! Hii sikuwahi kuipata kabisa.

Kweli mji asipoulinda Bwana waulindao wakesha bure.
 
Back
Top Bottom