Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Hakika MkuuTuwaombee kwa Mungu watu majasiri kama Lissu,Watu wa aina yake wapo wachache kwenye nchi hii ya Mbio za Mwenge..
Mungu awape maisha marefu ili watumike kama Chachu Kwa wengine
Hakika MkuuTuwaombee kwa Mungu watu majasiri kama Lissu,Watu wa aina yake wapo wachache kwenye nchi hii ya Mbio za Mwenge..
Siungi Mkono, lakini imewaletea kuheshimiana kati ya Watawala na Wananchi waoWewe unaona sawa kupigana kisa siasa za kikabila?
Sasa unachoona hapo ni kuheshemiana au kuvunjiana heshima?Siungi Mkono, lakini imewaletea kuheshimiana kati ya Watawala na Wananchi wao
Sio kama huku kwetu ambapo watu wanatekwa na hakuna uwajibikaji Kwa Viongozi
Ila siasa za kivyama ni sawa kupigana?Wewe unaona sawa kupigana kisa siasa za kikabila?
Kama Kiongozi wako hawi responsible kwako pamoja na kumchagua, ndiyo atakuheshimuSasa unachoona hapo ni kuheshemiana au kuvunjiana heshima?
Kuwa responsible au kutokuwa ni mitizamo ya kisiasa kwaiyo mnaweza mkaiheshimuKama Kiongozi wako hawi responsible kwako pamoja na kumchagua, ndiyo atakuheshimu
Yaani wewe umheshimu pamoja na kumsujudia lakini wewe hakufanyii lolote zaidi ya kukuteka na kukutesa tu