Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Ingekuwa huko afuganistani hao raia wote wangechukuliew na watu wasiojulikana
Watapigwa tu hakuna namna!Ni ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
Upuuzi mtupuNi ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
🤣🤣🤣 majirani wa moto!!!, ingekuwa kwetu daah huyo mtu aliyerusha kiatu sahivi angekuwa anawahidithia kina Magu na Nyerere hukoNi ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
kwamba pawepo na ulinzi wa kuzuia kurushiwa viatu kama Jorge Bush kule Iraq? Right?🐒Ni ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
Kenya ni nchi ya hovyo sk zote tunajua. Tanzania huwezi ht kumkaribia Raisi. Proud of my country.Ni ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
bush baada kukwepa kile kiatu, alifanya utan kdogo akasema kile kiatu kilikuwa namba tisa.kwamba pawepo na ulinzi wa kuzuia kurushiwa viatu kama Jorge Bush kule Iraq? Right?
Taratbu mkuuIlitakiwa amwagiwe fuko la maviii
Ni ombi langu kwa vyombo vya ulinzi Afrika mashariki
Tukio la Rais Ruto kupigwa na kiatu limenisikitisha sana
Source: Citizen tv
Hiyo tutamfanyia mnayemwita mama mwezi October pale Jangwani.Ilitakiwa amwagiwe fuko la maviii