Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Nitake radhi please mkuu. Yani mimi nisijue vitu hivyo unavyo visema mkuu? Everybody know that, jamaa kavizungumzia from a spiritual perspective.

Haya unajua baada ya Tupac kupigwa risasi tano hiyo mwaka 94 Moja Kati ya effects zake alitolewa pumbu Moja?
 
Hapo Sasa Nimekuelewa Na Kama Ni Hivyo nakubaliana Naye kwa 100%
Ila nimeona Kuna mtu kasema Kuwa ni Devilish ndo nilikuwa Najibu kuwa Huwezi kujua Aina ya Possesion kwenye Spiritual Realm
 
Njoo tuzungumzie music wa pac nyimbo zake za Changes,Dear mama na nyinginezo risasi aliyopigwa ni moja tu kati ya zile tano na ndio iliyomvunja mguu ukawa unaona anatembea kama gangster fulani kumbe ni kwa sababu ya hilo tatizo na wahuni wengi hata USA wakawa wanaiga mitembeo ya Pac wimbo unaandaliwa unakuja kusema mashetani huo wimbo unapigwa ulikua wapi mazee wakati Kanda yake ilianza kuuzwa Tsh 1200 mpaka Tsh 1500..
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
I'm a self-made millionaire
Thug livin', out of prison, pistols in the air haha
Biggie, remember when I used to let you sleep on the couch
And beg a bitch to let you sleep in the house?
Now it's all about Versace, you copied my style
Five shots couldn't drop me, I took it and smiled
Now I'm back to set the record straight
With my AK, I'm still the thug that you love to hate
Motherfucker, I'll hit 'em up
 
And he was paranoid
And may be because of tough/difficult childhood he may have develop another personality ( Dissociative identity disorder ) na hivyo mnavyosema kuwa possessed huenda ilikuwa ni personality yake nyingine
 
Naona Wadau kwenye Kona zenu mnavyo support huu Uzi unaohusu Majini....!

Then kesho mtakuja kubishana kwenye Uzi unaohusu Mungu, mkisema Mungu hayupo, ni Ujanja wa Mtu mweupe kututawala n.k.....!
 
Hahahahah asante sana mkuu kwakuliona hilo nashukuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…