Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Wavivu bana🚮🚮🚮🚮
 
No ! Marijuana inasababisha paranoid. It is a scientific research.
I agree with u cause I used to smoke marijuana when I was a kid at secondary school. Ukivuta una kuwa unahisi kama vile kuna mtu anataka kukudhuru
 
porojo kama porojo zingine
sijaona uthibitisho wa pac kupandwa na pepo zaidi ya dhahania

pac alikuwa kachafukwa tu hakuna cha pepo
Uthibitisho utaupata ukitazama hizo videos plus kitabu kwenye mfumo wa video ambacho kina chapters 77
 
Ishu ya split personality
Anajiquote na anajireply mwenyewe, mtu wa hivi ni yule asiyejiamini na hoja zake hivyo anajaribu kutafuta validation kwa namna yoyote ile, ili azipe nguvu hoja zake na ajione au aonekane yuko sahihi hasa pale anapoona wengi wanampinga
 
I dislike your comment. It is not uplifting
I never liked your whole thread to start with. Why are you people demonizing good music?
Hit em up is the dopest diss track ever recorded.. pure emotions, lyricism,facts and artistic skills..plus, it has the all-time number one outro from any top rapper's song.
Sasa, all of a sudden you are here on JF typing nye nye nye, mapepo this, mapepo that! Why?
 
Kuna kitu hukijui wewe
 
Mwenye hoja hii hajasema sema chochote kuhusu ushetani isipokuwa amesema kwenye wimbo Hit Em Up Tupac alikuwa amepandwa na pepo na kwamba pepo ndio aliekuwa anaongea kwenye wimbo huo.
 
porojo kama porojo zingine
sijaona uthibitisho wa pac kupandwa na pepo zaidi ya dhahania

pac alikuwa kachafukwa tu hakuna cha pepo
Uthibitisho si kasema mwenyewe anaenda kuutoa kwenye video?
 
Mwenye hoja hii hajasema sema chochote kuhusu ushetani isipokuwa amesema kwenye wimbo Hit Em Up Tupac alikuwa amepandwa na pepo na kwamba pepo ndio aliekuwa anaongea kwenye wimbo huo.
Je, ulimuamini huyo mwenye hoja kiasi cha kuileta hii hoja hapa JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…