Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Kutokana na argument mfano nikikwambia jana nilikuwa serengeti nilimwona tembo ana mbawa na alikuwa anapa angani, utaendelea kunisikiliza au utajua huenda ni moshi au dishi limeyumba
Mkuu usiwe mwenye kupenda kuyalimit Mambo kwenye mindset yako utakosa kujifunza vitu vingi.

Wewe ni aina ya watu ambao wana amini " THINGS MUST FIRST MAKE SENSE WITH YOU BEFORE THEY HAPPEN"


Sasa dunia huwa hai operate kwa still hiyo.

When things want to happen, they don't need a permission of your sense they just happen.

Hata kama kwako haimake sense but haizuii Mambo ama jambo kutokea.
 
Unaujua ugonjwa wa DID ( Dissociative Identity Dissorder) ni ugonjwa wa unaomfanya mtu anakuwa na pesrsonality zaidi ya moja na anaweza ku switch toka hii kwenda nyingine, inadevelop kwa watu ambao wamekulia kwenye mqzingira magumu au hatarishi, vipi kama 2pac naye alikuwa na huo ugonjwa
 
sawa ila kwa nini pia msichukue na possibilty labda huenda 2pac alikuwa na split persinality, na huyu jamaa anayesema hayo mambo huenda yupo dellusional
 
sawa ila kwa nini pia msichukue na possibilty labda huenda 2pac alikuwa na split persinality, na huyu jamaa anayesema hayo mambo huenda yupo dellusional
Mpaka tutakapo msikia sababu zake. Hoja zake kwenye teasers zake zina make sense. Hata Galilee Galileo aliposema dunia ndo inazunguka jua kuna watu walimuona Yupo delusional.

Ishu ya Tupac kuwa na multiple personalities ameizungumzia pia.
 
ana you tube channel au ni tick tock tu
TikTok ndio zaidi lakini na You Tube Channel amesema ataizindua rasmi tarehe 16 June 2025 ( birthday ya Tupac ) ambayo ndio ataanza kutupia presentation ya chapters zote 77 ya kitabu chake ambayo nadhani itachukua miezi. Akianza kutupia You Tube nitaku tag. Binafsi hoja zake nazikubali mno
 
Yes Tupac had multiple personality. He had phases. Huyu jamaa kwenye teasers zake anasema Tupac had a feminine personality too. Very interestingly kuna interview Tupac mwenyewe anasema he was feminine and his reason was because he was raised in a house surrounded by mostly females
 
Wacha tusubiri videos ndo zitatupa mwanga halisi Ila hoja zake zinashawishi Sana.
 
Huyo jamaa ndo aliuskiliza wimbo akiwa na wenge
Siku hizi ukiwa na akili mingi unaitwa pepo ndo maana zangu nazitumia kutomber
 
Mkuu kumbe unauza vitabu
 
wimbo unaanza kurekodiwa audio halafu inatengenezwa video.
Hapo sasa jamaa amepatolea ufafanuzi vizuri Sana. Anasema.

1. Few weeks baada ya wimbo Hit Em Up kutoka Tupac mwenyewe aligundua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up.

2. So baada ya kugundua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up alikwenda kwenye public ( alifanya wimbo) na kutamka maneno yafuatayo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

I. Aliwaambia mashabiki wake dunia nzima kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up.

II. Ali u cancel wimbo Hit Em Up.

III. Aliwataka ma shabiki wake dunia nzima waucancel Hit Em Up.

Iv. Alitamka waziwazi kwamba anajutia Sauti yake kuhusika kwenye wimbo Hit Em Up.

V. Ali apologize kwa : Biggie Smalls, Faith Evans, Lil Kim, Prodigy of the Mobb Deep, watu wote wenye shida ya sicke cell duniani, mama mzazi wa Biggie, mama yake mzazi ( Afeni Shakur) pamoja na Dada yake wanted share nae mama mzazi ( Sekyiwa Shakur)

Wimbo huo ulipotoka kila mtu aliusikia lakini hawakuelewa Tupac alichokuwa anakisema kwenye wimbo huo. Kabla Tupac hajautolea ufafanuzi, akauwawa. Mwandishi anasema ata ureveal wimbo huo kwenye kitabu chake na kuuthibitishia umma kuhusu hayo anayo yasema.


Sasa swali ulilo uliza ni swali zuri Sana na linaonyesha wewe ni mtu makini na mwenye uelewa wa hali ya juu Sana kwa sababu hata kule TikTok aliulizwa swali hilo akatoa majibu yafuatayoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Aliulizwa kama Tupac mwenyewe anasema aligundua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up na kwamba alijutia Sauti yake kutumika kwenye wimbo Hit Em Up then kwanini alifanya Mambo yafuatayoπŸ‘‡πŸ‘‡


1. Ali shoot video ya wimbo Hit Em Up

2. Alifanya live show ya wimbo Hit Em Up kwenye ukumbi uitwao " House of the Blues "?


Majibu ya jamaa sasa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Anasema moja Kati ya Mambo yanayo dhihirisha waziwazi Pasi na Shaka yoyote kwamba Tupac alijutia na aliuchukia Sana wimbo Hit Em Up, ni pamoja na video ya wimbo huo pamoja na live performance ya wimbo huo.


Kivipi na kwanini? πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

1. I. Facial expression
II. Body language expression ya Tupac Shakur kwenye wimbo Hit Em Up vyote kwa pamoja vinathibitisha Pasi na Shaka yoyote ile kwamba Tupac Shakur alijutia kufanya wimbo Hit Em Up na yeye mwenyewe hakupenda kabisa kuwa ndani ya video ya wimbo Hit Em Up. How and why? πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Majibu atayatoa kwenye video presentations za kitabu chake kwa kutoa tafsiri halisi ya facial expression ya Tupac Shakur pamoja na body language expression ya Tupac Shakur kwenye wimbo Hit Em Up kuthibitisha Pasi na shaka yoyote ile kwamba Tupac Shakur alijutia kufanya video ya wimbo Hit Em Up na hakupenda kuwa ndani ya wimbo huo na alijua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up.



2. I. Tupac Shakur facial expression.
II. Tupac Shakur body language expression

III. Tupac Shakur inner voice expression kwenye live performance ya wimbl Hit Em Up at the House of Blues. Vyote kwa pamoja vina thibitisha Pasi na shaka yoyote ile kwamba Tupac alijua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Yo, aliuchukia wimbo Hit Em Up, alijutia Sauti yake kutumika kwenye wimbo Hit Em Up.

How and why? Kwenye kitabu chake jamaa anatumia principles za " The Sacred Art and Science of Spiritual Languages " And " The art and science of sacred voxology" Ku tafsiri na kutoa maana ya facial expression ya Tupac kwenye live performance ya wimbo Hit Em Up at the House of Blues, body language expression ya Tupac Shakur kwenye live performance ya wimbo Hit Em Up at the House of Blues, INNER-VOICE EXPRESSION and INTERPRETATION ya Sauti ya Tupac Shakur kwenye live performance ya wimbo Hit Em Up at the House of Blues,facial expression ya Tupac Shakur kwenye video ya wimbo Hit Em Up, pamoja na body language expression ya Tupac Shakur kwenye video ya wimbo Hit Em Up kuuthibitishia ulimwengu Pasi na shaka yoyote ile kwamba Tupac Shakur mwenyewe aligundua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up na kwamba alijutia Sauti yake kuwa ndani ya wimbo huo na aliuchukia wimbo huo.

Yote anasema yatakuwa ndani ya kitabu chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…