Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Shida ya binadamu wanatafuta kasoro kwenye kila kitu hata kama ni kizuri. 2pac ana kipaji cha aina yake mwacheni hata mkiprove alipandwa na mapepo studio hamtafaidika na chochote nyimbo yenyewe imetoka miaka 20 iliyopita.
Eid I Mean, member wa Outlaw ambao walishirikishwa kwenye wimbo " Hit Em Up" anasema anaamini Siku hiyo Tupac studio hakuwa peke yake. Kuna vitu vilitokea studio ambavyo hata ma injinia siku hiyo walishangazwa. Yeye pia ana amini kulikuwa na spiritual beings studio wakiwa wanarekodi, na hao spiritual beings wana husika Moja kwa Moja na energy plus verse za Tupac kwenye Hit Em Up.
 
Inasikitisha kuona marehemu anajadiliwa. Laiti 2pac angekuwa ndugu wa huyo aliyefanya hiyo research sidhani hata research yenyewe angeifanya.
Tupac mwenyewe angefurahi kwa sababu research inamsafisha yeye kwamba hakuwa yeye anatukana watu kwenye wimbo Hit Em Up including wagonjwa wa sickle cell.

Kwenye videos za jamaa ame prove pasi na shaka yoyote kwamba Tupac mwenyewe wiki tatu baada ya wimbo Hit Em Up kutoka, aligundua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up so akafanya Mambo matano lakini kabla watu hawajamuelewa, wakamuuwa
 
Naheshimu mawazo yako ila mimi siamini hiyo kitu. Na ukizingatia 2pac nilikuwa namkubali sana hata kama ni kweli alikuwa possessed haitabadilisha chochote ,legend atabaki kuwa legend.
 
Yes you are correctly. Tupac was not a gangster or a thug. He was an actor.

But kuhusu suala la Tupac kuwa possessed by a spiritual being kwenye wimbo Hit Em Up., usikatae mkuu.


Ukitazama video za jamaa jinsi anavyo elezea, utakubaliana nae kwa asilimia Mia.
 
Naheshimu mawazo yako ila mimi siamini hiyo kitu. Na ukizingatia 2pac nilikuwa namkubali sana hata kama ni kweli alikuwa possessed haitabadilisha chochote ,legend atabaki kuwa legend.
Mimi pia namkubali mkuu. Hoja kwamba alikuwa possessed kwenye Hit Em Up hazimchafui Bali zina msafisha.

Yeye mwenyewe kwenye nyimbo zake nyingi amemzungumzia kuhusu spiritual possession.

Yeye mwenyewe few weeks after Hit Em Up came out aligundua kwamba alikuwa possessed kwenye wimbo Hit Em up and he went to the public lakini kabla hajafafanua vizuri wakamuua.
 
Napata wapi hizo videos mkuu
 
Hao pepo wanachagua mahali pa kupanda, watu mpaka tunabuluza miswaki ya hisabati walikua wapi kupanda vichwani mwetu watufanyie pepa?? Physics pepa lilikauka kinoma ila holaa sio pepo wala popo waliofika kuninasua
 
Hao pepo wanachagua mahali pa kupanda, watu mpaka tunabuluza miswaki ya hisabati walikua wapi kupanda vichwani mwetu watufanyie pepa?? Physics pepa lilikauka kinoma ila holaa sio pepo wala popo waliofika kuninasua
Duh mbona hujaeleweka mkuu
 
Upo sahihi but ukitazama video za huyu jamaa huwezi kupingana nae hata kidogo. Ame elezea vizuri sana kwamba Tupac Shakur was actively possessed by a spiritual being at the time when he was in the studio recording Hit Em Up na kwamba huyo kiumbe ndie alie kuwa akiongea kwenye wimbo huo.
 
Nimeenda Tiktok huko naona wazungu wanamkubalia vibaya mno mpaka wanugu nao wanakubaliana na hoja zake
 
You already know.
Ila huko Tiktok naona wazungu kwa wamarekani weusi wanamkubali Sana huyu jamaa wanasema hoja zake zina mashiko kwa asilimia zote na vitu anavyo ongea vina make a lot of sense kwenye hoja zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…