Bado Ney wa Mitego,aendelee tuu kuweka Ligi na Serikali wanaomsifia Leo hatowaona kwenye shidaDah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini
Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini
Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia
Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie
TABLE TURNS!
Nimeambatanisha videoView attachment 2741203
Mwenzako anafurahia duara lake limetema wewe unasemaje?Bado Ney wa Mitego,aendelee tuu kuweka Ligi na Serikali wanaomsifia Leo hatowaona kwenye shida
Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini
Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini
Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia
Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie
TABLE TURNS!
Nimeambatanisha videoView attachment 2741203
Si uchawa na uchawi ndo hastle zakeTuone ww hustling zako
Tuone hayo maduka mkuuWewe unasema hivyo ukiwa wapi nyuma ya keyboard? Mwenzako huyo ana maduka yana chata la Billionaire Kid rejareja na jumla, wewe una nini?