Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Natamani arudi kwenye game ana kipaji cha utunzi na ni mpangaji mzuri wa mashairi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo tupo vyedi sana kusagiana kunguni
 
Safi sana kwa mfano,kwa mwezi akapiga show tano za laki tano tano,

Si tayari ana m 2.5 bado kama ana vimiradi vingine vya kumuingizia mia mbili mbili.

Watu tujifunze kuishi maisha halisi kuliko life la kuigiza ili tu kuwaridhisha watu
 
HV ka tini white ndo kabosi kake siku hz.in mtanga mtangaliles voice
 
Kwa mtu anaejua utafutaji haoni ajabu, watu wanafirisika wanaanza upya na wanakaa sawa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…