Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585

Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
 
Mimi sioni kosa lake! Viongozi wengi wa ccm wametoa kauli nyingi za kiuchochezi tena zaidi ya hayo maneno lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwao! Sisi wananchi huu ni uonevu tu kwa vyama vya upinzani! Nendeni kenya mkajifunze maana ya demokrasia ya vyama vyingi!! Mwacheni tundu lissu
 
View attachment 3322296

Maneno ya Lissu hayana shida yeyote. Shida ni upumbavu ulionao na kukosa akili tu.
 
View attachment 3322296

Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
Tundu Lissu alikosea sana. Sielewi wanaomtetea wanapata wapi ujasiri. Hakuna Serikali dunia hii utatamka maneno kama hayo ikakuacha.

Tuisubiri Mahakama
 
Mimi sioni kosa lake! Viongozi wengi wa ccm wametoa kauli nyingi za kiuchochezi tena zaidi ya hayo maneno lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwao! Sisi wananchi huu ni uonevu tu kwa vyama vya upinzani! Nendeni kenya mkajifunze maana ya demokrasia ya vyama vyingi!! Mwacheni tundu lissu
Hakuna cha kujifunza Kenya. Juzi wameua mbunge wa jimbo la Kasipu Charles Odongo:-
Screenshot_20250502_075736_Chrome.jpg
 
Tundu Lissu alikosea sana. Sielewi wanaomtetea wanapata wapi ujasiri. Hakuna Serikali dunia hii utatamka maneno kama hayo ikakuacha.

Tuisubiri Mahakama
Unaongelea Dunia ipi hiyo? Tatizo wewe na wenzako wengi hamna exposure na wala hamfuatilii global issues mnajiropokea tu. Marekani kuna msanii mkubwa alisema anataka kulipua ikulu na walimuangalia tu. Hata hao walio mshitaki Lissu wanajua hakuna kesi hapo ila wanatumia mianya ya kisheria kumuweka kizuizini.
 
Mimi sioni kosa lake! Viongozi wengi wa ccm wametoa kauli nyingi za kiuchochezi tena zaidi ya hayo maneno lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwao! Sisi wananchi huu ni uonevu tu kwa vyama vya upinzani! Nendeni kenya mkajifunze maana ya demokrasia ya vyama vyingi!! Mwacheni tundu lissu
Sikiliza clip yote sio nusunusu
 
Unaongelea Dunia ipi hiyo? Tatizo wewe na wenzako wengi hamna exposure na wala hamfuatilii global issues mnajiropokea tu. Marekani kuna msanii mkubwa alisema anataka kulipua ikulu na walimuangalia tu. Hata hao walio mshitaki Lissu wanajua hakuna kesi hapo ila wanatumia mianya ya kisheria kumuweka kizuizini.
Wanajua hakuna kesi wewe unajua sheria?
 
Back
Top Bottom