Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Asante Mkuu kwa kuliina hilo. Ila nashukuru kuwa Serikali haicheki na kima, imeamua kuchukua hatua
Shida kelele zinakuja hapa,wanaochukuliwa hatua ni upinzani tu kauli tata za walioko chama tawala hazifanyiwi kazi hata siku moja.
Hii unaonaje ndugu
 
Wafanye reforms ili waachie madaraka??
Ili wakose ugali wao waliuzoea??
Sio rahisi ndugu

..Ccm tayari wana rekodi ya kazi walizozifanya, pia wana fedha nyingi kupindukia.

..katika mazingira hayo sio rahisi kuwashinda katika uchaguzi hata ukiwa huru na wa haki kuliko yote duniani.

..Ccm wanapokea ruzuku sh 3.2 BILLION kila mwezi toka kwa msajili wa vyama. Sio rahisi kushindwa na watu wa tone tone.
 
Kama kuna rekodi nzuri,kwanini inatumika nguvu kubwa ya fedha na mabavu ndugu?
Kiuhalisia kwa rasilimali tulizojaaliwa nchii ni aibu hapa tulipo sasa,ni aibu kubwa mno.
 
Kwa maslahi mapana ya taifa Lissu achinjwe hadi kichwa kitengane na mwili
 
View attachment 3322296

Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
Maneno ya kupindua nchi ulishawahi kuona wapi yanasemwa hadharani.Tafuta neno "kunukisha" kama Lina maana ya kupindua nchi
 
Maneno ya kupindua nchi ulishawahi kuona wapi yanasemwa hadharani.Tafuta neno kama Lima maana ya kupindua nchi
Hawa ni mataahira! Waambie ukweli Hawa machizi, Kuna mtu anatangaza jukwaani kuwa anapindua nchi? Duniani hicho kitu hakipo, Kiko kwa vilaza wa tz TU!
 
Kama ni hivyo kwanini hawaweki uwanja sawa kwa kubadilisha sheria na kanuni zinazotoa upendeleo?Hata Mimi nitafurahi ccm ikishinda katika uchaguzi huru na wa haki chini ya reforms zinazotakiwa na wananchi
..Ccm tayari wana rekodi ya kazi walizozifanya, pia wana fedha nyingi kupindukia.

..katika mazingira hayo sio rahisi kuwashinda katika uchaguzi hata ukiwa huru na wa haki kuliko yote duniani.

..Ccm wanapokea ruzuku sh 3.2 BILLION kila mwezi toka kwa msajili wa vyama. Sio rahisi kushindwa na watu wa tone tone.
 
Watanzania rendering darasani mkasome sheria na kuzijua haki zenu
 
Watu wanakaa pamoja na M23 wanajadiliana,sembuse kauli ya Lissu,hii nchi ilipofikia inahitaji watu kama wakina Lissu watie kiberiti kila sehemu,CCM wapumbavu sana haswa huyu bibi
Lisu awamu ya tano,alkilbia Tanzania,,Rais mama Samia,akaenda kumfata ubelgiji na kufanya naye mazungumzo,na kumwambia arudi Tanzania,na mikutano ya siasa ruhsa.Lisu badala ya kufanya mikutano ya kistaarabu,yeye ataka akinukishe na afanye uhaini.Sasa wewe ulitaka kikao gani,wakati Rais,Alekwenda mpaka ubelgiji na kukutana naye na mikono wakapeana
 
Maneno ya kupindua nchi ulishawahi kuona wapi yanasemwa hadharani.Tafuta neno "kunukisha" kama Lina maana ya kupindua nchi
Huo utetezi upeleke kwa Hakimu, hapa haitakusaidia kitu
 
Back
Top Bottom