Na kwenye video hiyohiyo baada ya kusema "wanasema hivi" alithibitisha kwa kusema "ni kweli tutahamasisha uhasi" hadi hapo hachomoki ame confess kupanga mbinu za uhasi
Tena familia yake kaificha uko majuuu!!!!
Sisi ndio tuangaike kutafutana na Watoto wetu !!!!
Lisu ni lipumbavu sana japo Msomi lkn Bichwa O mlioumia nawapa na dawa!!!!!!
tulikuwa n Mwanasiasa na Msomi wa Sheria rip Mchungaji mtikila uyu Mwamba alikuwa pia Mwenyekiti wa Chama cha DP !!
Mwanasiasa uyu alipoona jambo alipo sawa Yeye uwenda mahakamani kupinga jambo Usika sio kuitisha machafuko au kukinukisha !!!!
akiona Mahakama za Tz tatizo anafungua kesi Mahakama za Afrika masharik adi apate anachodai kesi nyingi za Katiba alifungua yeye na kuishtaki Serikali !!!
aliwai kufungwa Mwaka m1 kosa lake sio wizi apana!!!!
kosa lake aligoma kushusha Bendera wkt wa Msiba wa Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa!!!
Serikali ilitangaza Bendera zote zipepee nusu mlingoti uyu Mwamba akagoma kushusha Bendera ya DP !!!!!
Sasa Usomi wa LISU sijui unafaida gani kwenye alakati zake zakudai Mabadiliko Badala atumie Mahakama yeye anakwambia Atakinukisha !!!!
apo apo Famila yake kaificha seem Salama uko Marekani !!!
anataka Urais kwa alaka alaka kama kashikwa na Tumbo la kuala na chooo pekeee kipo Ikulu???
Wasomi wanasiasa wanatakiwa wajue ule muda wa Vijana wa kitanzania kujitolea kufa kupambana na Mapolisi aupo tena !!!!
Vijana wasasa wameshajifunza kupitia wenzao waliopita walipoamua kupambana na matokea yake wanayajua!!!
kwasasa awaoni mapambana kama ndio njiaaa apana !!!
ni wakati sasa Mnajiita wasomi wa Sheria uku Wanasiasa kuelekeza nguvu zenu MAHAKAMANI !!!
sio kutegemea nguvu za Vijana kukinukisha !!!
yani mtaji wako ewa !!!
kwa kutegemea vijana wa wenzio uku wako umewaficha majuuu!!!
Eti unaichimba Biti Serikali kama amtaki kubadili lile na lile nakinukisha !!!
Serikali inajua Biti lako EWA tu !!
ndio mana muda huuu upo uko kolokoloni Ukinukishie uko uko !!!
Ungetumia Usomi wako kudai Badiliko lolote kisheria naamini usingekuwa uko ulipo leo!!!!!
MTIKILA amekudhidi maarifa ya Usomi wa Sheria !!
Matamko ya kukinukisha nisingeshangaa yakitolea na Mwanasiasa lkn sio Msomi wa Sheria !!!!
Lisu umejidhalilisha kwa kutojiamini kupitia Usomi wako..