Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Kwa kuwa akina Heche nao wanahamasisha wana Chadema kwenda Mahakamani kwa wingi wakati pale Kisutu hakuna court room ya ku-accommodate zaidi ya wasikilizaji 80.

Kwa hiyo Serikali inaepusha fujo na uvunjifu wa amani
Msikilize Mwabukusi kuhusu taratibu za uendeshaji wa mahakama ufute ujinga na unyani kichwani kwako.
 
..nadhani watendaji hawamheshimu Mama Abduli.

..haiwezekani falsafa yake iwe 4R halafu wateule wake wanateka, wanatesa, na kuuwa.
Urais ni Taasisi, kila chombo kina majukumu yake
 
View attachment 3322296

Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
Bottomline: "Kwani tukiwa na mabadiliko ya kweli kitu gani kitaharibika? Hakuna kitakachohabirika..." Lengo/kusudi la TL ni mabadiliko ya kweli yatakayoleta electoral integrity. Hii ndiyo imekuwa hoja yake ya mara Kwa mara. Hayo ya uhaini haiwezekani kuyathibitisha, hasa "intention to commit treason". Katika mfumo wa haki unao'punish' the guilty and exonerate the innocent, nani atakaye 'establish' malice ya TL beyond reasonable doubt kwamba he intended to commit treason na how will he do that?
 
Msikilize Mwabukusi kuhusu taratibu za uendeshaji wa mahakama ufute ujinga na unyani kichwani kwako.
Mwabukusi ndiyo nani nchi hii ? Kama wewe ni Wakili endelea kumheshimu, lakini TLS ni kijiwe chenu cha kuongea mambo yenu. Haina meno
 
Bottomline: "Kwani tukiwa na mabadiliko ya kweli kitu gani kitaharibika? Hakuna kitakachohabirika..." Lengo/kusudi la TL ni mabadiliko ya kweli yatakayoleta electoral integrity. Hii ndiyo imekuwa hoja yake ya mara Kwa mara. Hayo ya uhaini haiwezekani kuyathibitisha, hasa "intention to commit treason". Katika mfumo wa haki unao'punish' the guilty and exonerate the innocent, nani atakaye 'establish' malice ya TL beyond reasonable doubt kwamba he intended to commit treason na how will he do that?
Sina shida na madiliko, na hayakuanza leo. Maana hata mwaka 1992 wakati wa vyama vingi vinaanza wengi walitaka tubakie na chama kimoja na 20% wakataka vyama vingi lakini busara na mwongozo wa JKN ukasema twende vyama vingi bila KUKINUKISHA.

Shida ni Lissu anataka kufanya fujo ili kuleta mabadiliko. Lazima adhubitiwe kwa nguvu zozote zile
 
Na kwenye video hiyohiyo baada ya kusema "wanasema hivi" alithibitisha kwa kusema "ni kweli tutahamasisha uhasi" hadi hapo hachomoki ame confess kupanga mbinu za uhasi
Kwani alimtaja mkuu gani wa nchi anataka kumuua au kupindua serikali yake? Je, ukisema "mwaka huu sitalipa kodi..." utaweza kushtakiwa kwa kutotaka kulipa kodi ya serikali, na ni sheria gani utakuwa umevunja?
 
Sina shida na madiliko, na hayakuanza leo. Maana hata mwaka 1992 wakati wa vyama vingi vinaanza wengi walitaka tubakie na chama kimoja na 20% wakataka vyama vingi lakini busara na mwongozo wa JKN ukasema twende vyama vingi bila KUKINUKISHA.

Shida ni Lissu anataka kufanya fujo ili kuleta mabadiliko. Lazima adhubitiwe kwa nguvu zozote zile
Hiyo fujo anayotaka kuleta unaweza kuithibitishaje? Je, neno "kukinukisha" kwa sheria za Tanzania lina maana gani au ni sheria gani inayofanya "kukinukisha" liwe kosa la jinai?
 
Kwani alimtaja mkuu gani wa nchi anataka kumuua au kupindua serikali yake? Je, ukisema "mwaka huu sitalipa kodi..." utaweza kushtakiwa kwa kutotaka kulipa kodi ya serikali, na ni sheria gani utakuwa umevunja?
Hiyo mimi hainihusu ataeleza yeye mahalamani alikusudia mkuu wa nchi gani kama ni Belgium au popote
 
Hiyo mimi hainihusu ataeleza yeye mahalamani alikusudia mkuu wa nchi gani kama ni Belgium au popote
Sasa kama wewe unayempeleka mahakamani huwezi kuthibitisha kosa lake, je unataka mahakama ndiyo ithibitishe wakati kanuni ya kisheria inasema "he who alleges must prove"?
 
Sasa kama wewe unayempeleka mahakamani huwezi kuthibitisha kosa lake, je unataka mahakama ndiyo ithibitishe wakati kanuni ya kisheria inasema "he who alleges must prove"?
Kumbe kesi imeshasikilizwa na wameshindwa kuthibitisha? Kwanini hajaachiwa sasa,?
 
Kwa nini hawataki kesi isikilizwe kwenye mahakama ya wazi na huru? Kwa nini serikali inaingilia mahakama kwenye hiyo kesi??
Kafungue kesi ndani ya kesi kwa ajili ya kuzuia kesi kusikikuzwa
Huku marekani eminen aliandika matusi kabisa ........kwa raisi aliyemadarakani na hajafungwa mpaka leo..................sasa huyo lissu kuna tusi gani alilotoa mpaka mpagawe kiasi hicho??? Kumbuka maji ya bahari yapikiwi chai..........na hata ufanyeje bikira haitolewi kwa gunzi.............shombo ya papa hata upulize manukato ya gucci haiwezi kuisha
Kwa hiyo tumuachie kisa Eminem wa Marekani hakukamatwa?
 
Kwa vile walikaidi amri ya Polisi ya katazo la kwenda Mahakamani.
Pumbavu kabisa...

Ni sheria ipi inawapa polisi mamlaka kutoa amri ya kuzuia watu kwenda mahakamani?

John Heche alikamatiwa Salender Brdge. Hapo ni mahakamani? Alivunja sheria gani?
Polisi siyo wajomba zako wakuchekee, huwezi kukwepa kuchezea virungu
Hao hawakuwa polisi....!!

Matendo yao siku hiyo yanasadifu kuwa, hao hawakuwa polisi waliofundishwa kutenda kwa mujibu wa sheria...!

Wale walikuwa wahuni na majambazi yaliyokuwa na kichaa cha mbwa na kuvikwa magwanda ya polisi...
 
Pumbavu kabisa...

Ni sheria ipi inawapa polisi mamlaka kutoa amri ya kuzuia watu kwenda mahakamani?

John Heche alikamatiwa Salender Brdge. Hapo ni mahakamani? Alivunja sheria gani?

Hao hawakuwa polisi....!!

Matendo yao siku hiyo yanasadifu kuwa, hao hawakuwa polisi waliofundishwa kutenda kwa mujibu wa sheria...!

Wale walikuwa wahuni na majambazi yaliyokuwa na kichaa cha mbwa na kuvikwa magwanda ya polisi...
Next hearing na wewe nenda ukakautane na vijana wa MURILLO, hhalafu je utupe mrejesho humu
 
Hilo ndilo la msingi, tusubiri Mahakama
Kwa hili nimekupa "LIKE" na kumbe una akili na unaweza kuelewa kwa urahisi..

Lakini kuna huyu mwenzako anaitwa Lucha, ni kichwa jiwe. Mgumu kuelewa hata ukeshe naye ukimfundisha..

Huyu jamaa, hata ukimuuliza aeleze rangi ya shati alilovaa, atajibu kinyume. Ukimwambia ni jekundu, atabisha mpaka asubuhi wakati ukweli ni la rangi jekundu..
 
Kafungue kesi ndani ya kesi kwa ajili ya kuzuia kesi kusikikuzwa

Kwa hiyo tumuachie kisa Eminem wa Marekani hakukamatwa?
Huyo hamjamkamata mmemzuia tu yaani hana uhuru wake...............sasa jiandaeni ceo wote wa tanzania kuja ulaya ,marekani na Canada itakuwa ndoto nyevu.............
 
Linganisha hayo maneno na kauli za Nape Nauya, na mkuu wa wilaya wa Longido ni nani ana takiwa kutiwa hatiani Kwa uhaini
 
Ukimsikiliza vizuri Lissu hayo maneno aliyatamka makusudi na pengine alifahamu anachokwenda kukutana nacho baada ya maneno hayo..Katika Hali ya kawaida hakukua na ulazima WA kutamka hayo maneno
 
Back
Top Bottom