Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Huna akili hata robo hayo siyo maneno yake ila maneno ya kulishwa na maadui zake,hapo kanukuu maneno ya adui tu.Tumia akili yako ikusaidie japo kuvukia barabara.
Wewe ni kiziwi!! Unabishaje vitu vya wazi?? Ile ni sauti ya Lissu
 
Kasome Sect 39(d) Cap 16 R.E 2022 , inajieleza , huyo kafanya kosa la uhaini na akiachiwa labda aachiwe kwa maslahi mapana ya nchi ili kuondoa migogoro lakini siyo kwa kushinda kesi
[/QUOTE
HATOBOI!! Labda ahurumiwe. Tatizo lenu nyumbu wa CHADEMA mnaaminishwa kuwa Tundu ni genius wa sheria. Lakini sivyo, Tundu ni mropokaji na hajajaliwa mshipa wa kuchuja aongee nini jukwaani.

Poleni CHADEMA huo ndiyo mwisho wa chama mlichopora kutoka kwa Freeman Mbowe
Hakuna haja ya kumhurumia mtu wa aina ya GAIDI,MUAHINI. Ukiona hivyo sasa ya nini magereza kuwa na Wafungwa maana nadhani wafungwa walioko magerezani 98% makosa yao ni madogo zaidi ya uahini na Ugaidi.

Hivyo km ndivyo mambo yalivyo basi hatuna viongozi.
 
Reforms sawa lakini siyo kwa UASI na kukinukisha.

Mkuu kama yale maneno ni mepesi hebu rudia tena kusikiliza clip.

..hivi mauaji na ukatili mwingine wanaofanya Ccm wakati wa uchaguzi sio kukinukisha?

..kwanini hatukai pamoja kwa uaminifu na nia njema na kufanya Reforms ili kulinda HAKI na kudumisha amani?

..lugha wanazozungumza wapinzani ni za watu wanaodhulumiwa na kuteswa.

..Sasa tujiulize nini kifanyike ili Watanzania wenzetu wasijisikie ni watu baki ktk nchi yao.
 
Tundu Lissu alikosea sana. Sielewi wanaomtetea wanapata wapi ujasiri. Hakuna Serikali dunia hii utatamka maneno kama hayo ikakuacha.

Tuisubiri Mahakama
Mkuu unaweza kutuamba maana ya neno uasi ili tuwe na uelewa wa pamoja.
 
Katibu Mkuu wa TEC ni cousin brother wa Lissu. Hata baadhi ya mikutano ya CHADEMA kama mitatu ya viongozi wakuu imewahi kufanyika kwenye ofisi za TEC.

Sema TEC inatumika vibaya na Fr Charles Kitima. Tumuombee apone majeraha. Ila inabidi ajitafakari
🤣 🤣 🤣
 
Kibatala ni jina tu. Uliza Mahakamani wakuambie ameshinda kesi ngapi!! Au ukiona yale maswali anayohoji unadhani ndiyo anashinda kesi??
Hayo utayajua wewe mimi nasubiria kuona jinsi serikali itakavyo dhalilika basi
 
Kisheria ili kosa liwe la uhaini linatakiwa afanye nini?

Sifa za uhaini nini?
Sikiliza clip, anasema atahamasisha uasi na kuvuruga uchaguzi wa 2025 kwa kukinukisha kisha nenda kwenye
Katiba ya Tanzania na sheria za nchi.
Uhaguzi ni msingi wa demokrasia na haki ya kikatiba (Kwa mfano, Katiba ya Tanzania ya 1977, Kifungu cha 5 na 21).

Kutoa vitisho vya "kuharibu uchaguzi" au kuanzisha "uasi" ni uvunjifu wa sheria za Tanzania, kama vile:
(1) Kanuni ya Jinai (Penal Code): Vifungu namba 38 (kuchochea fujo- sedition), 40 (kuchochea machafuko-inciting unrest), au 41 (kuashiria kusudi la kuvunja utulivu wa umma-conspiracies to breach public peace) vinaweza kutumika kuwashitaki wanaotangaza mambo hayo
 
..hivi mauaji na ukatili mwingine wanaofanya Ccm wakati wa uchaguzi sio kukinukisha?

..kwanini hatukai pamoja kwa uaminifu na nia njema na kufanya Reforms ili kulinda HAKI na kudumisha amani?

..lugha wanazozungumza wapinzani ni za watu wanaodhulumiwa na kuteswa.

..Sasa tujiulize nini kifanyike ili Watanzania wenzetu wasijisikie ni watu baki ktk nchi yao.
Tukae tujadiliane. Na majadiliano aliyaanzisha Samia kupitia 4R. Ila Tundu aliyabeza openly kwenye majukwaa.
 
Tukae tujadiliane. Na majadiliano aliyaanzisha Samia kupitia 4R. Ila Tundu aliyabeza openly kwenye majukwaa.

..Samia alilenga kuwahadaa na kuwapotezea muda Chadema.

..hata Four R nazo zilikuwa hadaa tu. Sasa hivi ni kama tuko kwenye Zero R.
 
View attachment 3322296

Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
##Sasa si twendeni mahakamani ili mahakama ikatoe tafsiri ya kisheria ya maneno haya? Kwanini mnataka kutumia njia za mkato kutoa hukumu kwa kutumia tafsiri zenu za logic iliyo kwenye statement hii?

##Mnajua kabisa kuwa hakuna kosa lolote kwenye maneno hayo. Hakuna uhaini wowote kwenye maneno hayo. Uhaini upo kwenye tafsiri zenu na kwenye akili zenu. Kisheria hamuwezi kuthibitisha uhaini ktk kila neno alilotamka...!!!

=== Uchaguzi kwa sasa hautawezekana tena kwa sheria ya uchaguzi ya sasa

===Tutaasi na tutaongoza watu kufanya maasi..

===Kitanuka na tutakinukisha kweli..

##Acheni zengwe, twendeni mahakamani ili tukaone uhaini ulio kwenye maneno haya

##Shida yenu serikali (washitaki wa Tundu Lissu) hamtaki kufuata njia sahihi za kisheria na kimahakama ili kuthibitisha "uhaini" wake uliobebwa na maneno haya. Hamtaki jamaa awafafanulie maana yake akiwa mahakamani. Mnataka mtoe hukumu kwa tafsiri yenu ya kijinga na kipumbavu just to suit your evil plans and ambitions...
 
Na kwenye video hiyohiyo baada ya kusema "wanasema hivi" alithibitisha kwa kusema "ni kweli tutahamasisha uhasi" hadi hapo hachomoki ame confess kupanga mbinu za uhasi
Kwanza uende darasani ujifunze kiswahili...

Neno sahihi ni "UASI" kwa maana ya "rebellion" kwa kiswahili na siyo "UHASI" kama lilivyo kwenye kichwa chako hicho kibovu...

BACK TO THE TOPIC===

Na wewe tukuulize:

Kama mna uhakika "ame - confess", kwanini serikali yenu dhalimu chini ya Chura Kiziwi na CCM yake haitaki kufuata taratibu za kimahakama ili Tundu Lissu akaifanye hiyo "confession" yake mahakamani?

Kwanini drama nyingi mara mkamate watu, kuwapiga na kuwavunja mikono na miguu na kuwatupa porini? Why all of these? Hamtaki kwenda kuthibitisha huo "uhasi" wake kisheria mahakamani...?

Mnataka kutoa hukumu kwa utashi na kwa tafsiri yenu ya neno "uhasi" kama ulivyoliandika, au siyo..?

Why are you so stupid to that extent...??????

Ndugu kuhamasisha watu kuasi mifumo hasi na kandamizi dhidi ya HAKI na UHURU wa watu kuchagua viongozi wao kwa mujibu wa sheria zetu. Na TUTAASI KWELIKWELI, HILO HALINA MJADALA na ndo maana tunasema NO REFORMS, NO ELECTION..

Kwanini tusiwaasi viongozi walio madarakani ambao honestly speaking wamejiweka tu, hatukuwachagua? Kosa gani kisheria kufanya uasi wa namna hii...?
 
Back
Top Bottom