Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Km ndivyo wasingeliogopa kumpeleka mahakamani.Kasome Sect 39(d) Cap 16 R.E 2022 , inajieleza , huyo kafanya kosa la uhaini na akiachiwa labda aachiwe kwa maslahi mapana ya nchi ili kuondoa migogoro lakini siyo kwa kushinda kesi