Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Kumbe Shida ni kuambiwa tu ili mtafute plan B yake? Maana mpaka sasa - tafsiri ya maneno “ kukinukisha” bado no Ngumu.
Kuzuia uchaguzi bado haijulikani atafanyaje…
Kaeni mezani muyamalize.
Hivi Kikwete aliwezaje ku deal na huyo Lissu na sasa nyie mumeshindwa?
Unataka uone silaha zikiletwa na watu wakipindua nchi ndiyo ukawashtaki kwa kesi ya uhaini?

Unless umezaliwa baada ya 1980s, ila kwa sisi tuliokuwapo tuna kumbukumbu ya kesi ya Lugangira aka Uncle Tom na MacGhee na wenzao akina Hanspope, Eugene Maganga, Mbogoro, Banyikwa etc waliotaka kumpindua Rais Nyerere mwaka 1982/3.

Serikali haikusubiri wapindue ndiyo iwashitaki. Kwa sasa iachie Mahakama ifanye kazi yake
 
Sawa- mahakama ifanye tu kazi kwa haki bila maagizo ya Bashungwa Kama inavyodaiwa na watu humu jf
 
Ukiwa mjinga jitahidi usiongee sana wala kuandika sana.
Maana utaulizwa maswali utashindwa kujibu.
 
View attachment 3322296

Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
Sasa huyu kibaraka anajilinganisha na Stateman km Mandela? Hili mavi kweli
 
Unaongelea Dunia ipi hiyo? Tatizo wewe na wenzako wengi hamna exposure na wala hamfuatilii global issues mnajiropokea tu. Marekani kuna msanii mkubwa alisema anataka kulipua ikulu na walimuangalia tu. Hata hao walio mshitaki Lissu wanajua hakuna kesi hapo ila wanatumia mianya ya kisheria kumuweka kizuizini.
Siyo exposure tu, mimi nimetembea mabara yote kasoro America lakini kila nchi ina sheria zake. Ndiyo maana USA wewe t2t kama ni mwanaume unaweza kuolewa na mwanaume mwingine, lakini hicho kitu huwezi kufanya Asia na Afrika.

Acheni mifano ya kidwanzi
 
Kibatala anaenda kuivua nguo sirikali na kuiacha uchi wa nyama kariakoo kati kwa mara nyingine tena, hata walio mkamata wanajua kabisa hakuna kesi ya msingi hapo
 
Kushawishi watu kisiasa kugomea uchaguzi = UHAINI.

Useless.
 
Kwanza ukimuangalia huyu mwamba alikuwa yuko high! Sijui alipiga cha Arusha au Malawi!
Maneno yalikuwa yanamtoka kama anaharisha bikla kutafakari vizuri!
Angeachwa angeleta dhahama kubwa kwa taifa!
 
Unataka uone silaha zikiletwa na watu wakipindua nchi ndiyo ukawashtaki kwa kesi ya uhaini?
Uhaini ni tendo na siyo maneno
Unless umezaliwa baada ya 1980s, ila kwa sisi tuliokuwapo tuna kumbukumbu ya kesi ya Lugangira aka Uncle Tom na MacGhee na wenzao akina Hanspope, Eugene Maganga, Mbogoro, Banyikwa etc waliotaka kumpindua Rais Nyerere mwaka 1982/3.
Acha kudanganya watu hapa. Kina Tamim walikuwa wanapanga Mapinduzi na huwezi kuwalinganisha na Lissu hata kidogo. Wao walikuwa asilimia kubwa ni wanajeshi!
 
View attachment 3322296

Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
Kama una akili timamu na wewe siyo chawa wala KASUKU au msukule wa Lumumba. Tuwekee na video ya AMOS MAKALA.
Alipodai chadema inachangisha pesa kwa ajili ya kwenda kununua mpox na ebola.
Na tuambie na hatua zilizochukuliwa na serikali kwa mjinga huyu wa ccm!
 
Uhaini ni tendo na siyo maneno

Acha kudanganya watu hapa. Kina Tamim walikuwa wanapanga Mapinduzi na huwezi kuwalinganisha na Lissu hata kidogo. Wao walikuwa asilimia kubwa ni wanajeshi!
Mtu apange mapinduzi hadharani? Hawa watu walienda shule kweli?
Mtu apange Mapinduzi halafu aachwe akalale kwake, asafiri mpaka mbeya, aongoze kikao cha vyama vya siasa akakqmatwe mbinga?
Ndo mana wanaambiwa waende veta
 
Kibatala anaenda kuivua nguo sirikali na kuiacha uchi wa nyama kariakoo kati kwa mara nyingine tena, hata walio mkamata wanajua kabisa hakuna kesi ya msingi hapo
Kibatala ni jina tu. Uliza Mahakamani wakuambie ameshinda kesi ngapi!! Au ukiona yale maswali anayohoji unadhani ndiyo anashinda kesi??
 
Uhaini ni tendo na siyo maneno

Acha kudanganya watu hapa. Kina Tamim walikuwa wanapanga Mapinduzi na huwezi kuwalinganisha na Lissu hata kidogo. Wao walikuwa asilimia kubwa ni wanajeshi!
Hakuna tofauti, kwa kuwa ile ya akina Tamimu na hii ya Tundu Lissu zote matokeo yake ya mwisho ni kuitoa Serikali halali kinyume na Katiba.

Unajiita Mwanasheria lakini hujui sheria, huna tofauti na Mwanasheria wa Yanga, ukasome VETA na wewe
 
Back
Top Bottom