Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Kama una akili timamu na wewe siyo chawa wala KASUKU au msukule wa Lumumba. Tuwekee na video ya AMOS MAKALA.
Alipodai chadema inachangisha pesa kwa ajili ya kwenda kununua mpox na ebola.
Na tuambie na hatua zilizochukuliwa na serikali kwa mjinga huyu wa ccm!
Two wrongs don't make one right. CPA Makala awajibike binafsi kwa kauli zake. Mimi nikijielekeza kwa kauli ya Tundu Lissu
 
Katika maamuzi ya maana yaliyofanyika na Serikali ya Rais Samia kulinda amani na utulivu wa nchi yetu, ni kumfungulia mashtaka Tundu ambaye alikuwa anapanga kuanzisha uhalifu ili KUKINUKISHA.

Wahenga walisema UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA. Na mdharau mwiba huota tende.
Ni kweli
 
Siyo exposure tu, mimi nimetembea mabara yote kasoro America lakini kila nchi ina sheria zake. Ndiyo maana USA wewe t2t kama ni mwanaume unaweza kuolewa na mwanaume mwingine, lakini hicho kitu huwezi kufanya Asia na Afrika.

Acheni mifano ya kidwanzi
Wewe naye ni walewale, hujui unacho jibu, CCM imetengeneza vilaza wengi Sana
 
Sasa mkuu Lissu si aende Marekani ndiyo akaseme maneno hayo ya kulipua Ikulu.

Hiyo Marekani mnaitumia visivyo. Mnaamini kuna haki sana lakini huko ndiyo kuna abuse of human rights za kutisha.

Hebu niambie kwa nini R Kelly, Bill Cosby, P Diddy wamepata musukosuko lakini watuhumiwa wa Jefrey Epstein kwenye child sexual scandal kama Prince Andrew, Bill Clinton etc wala FBI hawajawatafuta? Instead wamemuua Jeffrey Epstein na shahidi muhimu Virginia Giuffrey wao wanasingizia kuwa wame commit suicide.
Nimejibu comment Yake amesema duniani kote huwezi kusema maneno kama ya Lissu usikamatwe, ndio sababu ya Mimi kutoa mfano wa Marekani. Wapi nimesema Marekani hakuna Injustice?
 
Nimejibu comment Yake amesema duniani kote huwezi kusema maneno kama ya Lissu usikamatwe, ndio sababu ya Mimi kutoa mfano wa Marekani. Wapi nimesema Marekani hakuna Injustice?
Mfano wako ni IRRELEVANT
 
Na kwenye video hiyohiyo baada ya kusema "wanasema hivi" alithibitisha kwa kusema "ni kweli tutahamasisha uhasi" hadi hapo hachomoki ame confess kupanga mbinu za uhasi

..Na Polisi walipochunguza huo uhaini walikuta nini?

..Je, walimkuta Lissu na silaha za aina yoyote ile?

..Je, alipanga njama za kumkamata, au kumuua Raisi?


..kuna uhaini unaofanywa na mtu mmoja peke yake?

..Nawaomba mrejee kesi zilizopita za uhaini hapa Tanzania ili kujiridhisha kuhusu mashtaka na makosa ya uhaini
 
Huyu mwehu ingekuwa nchi nyingine angesha nyongwa kitambo. Bahati yake Mama dkt Samia anaheshimu utawala wa sheria.
Kamwe usijaribu kuchezea Serikali, ni kwakuwa tu CRais dkt Samia anaheshimu UTAWALA WA SHERIA.
 
View attachment 3322296

Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
Huna akili hata robo hayo siyo maneno yake ila maneno ya kulishwa na maadui zake,hapo kanukuu maneno ya adui tu.Tumia akili yako ikusaidie japo kuvukia barabara.
 
Na kwenye video hiyohiyo baada ya kusema "wanasema hivi" alithibitisha kwa kusema "ni kweli tutahamasisha uhasi" hadi hapo hachomoki ame confess kupanga mbinu za uhasi
Tumia akili yako vizuri na sii kama watumiavyo chawa na vilaza wao.
 
..Na Polisi walipochunguza huo uhaini walikuta nini?

..Je, walimkuta Lissu na silaha za aina yoyote ile?

..Je, alipanga njama za kumkamata, au kumuua Raisi?


..kuna uhaini unaofanywa na mtu mmoja peke yake?

..Nawaomba mrejee kesi zilizopita za uhaini hapa Tanzania ili kujiridhisha kuhusu mashtaka na makosa ya uhaini
Kasome Sect 39(d) Cap 16 R.E 2022 , inajieleza , huyo kafanya kosa la uhaini na akiachiwa labda aachiwe kwa maslahi mapana ya nchi ili kuondoa migogoro lakini siyo kwa kushinda kesi
 
Wewe ndo umeshindwa kutumia akili na kujifanya kiziwi wakati video hiyo hapo
Inawezekana ubongo uliporwa na hao ndugu zako kwani wao hadi ubongo uchungulie nje kwa aliyesalia nao,ili aweze kuelewa jambo dogo tu.
 
View attachment 3322296

Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
Sijasikiliza lkn ninachojua ni kuwa huyo jamaa siyo kilaza km wanavyo dhani baadhi ya watu kwamba anatamka tu bila kinga.
Ni lazima ktk matumshi yake kuna ama neno tata au sentence tata amba itaua matarajio ya wanao dhani kua ana hatia.

Ebu tafuta watu wenye akili timamu msikilize nao pamoja utaelewa nikisemacho.
 
Back
Top Bottom