Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

Kwanza uende darasani ujifunze kiswahili. Neno sahihi kwa maana ya "rebellion" yaani "UASI" kwa kiswahili na siyo "UHASI" kama lilivyo kwenye kichwa chako nusu hicho...

BACK TO THE TOPIC===

Na wewe tukuulize:

Kama mna uhakika "ame - confess", kwanini serikali yenu dhalimu chini ya Chura Kiziwi na CCM yake haitaki kufuata taratibu za kimahakama ili Tundu Lissu akaifanye hiyo "confession" yake mahakamani? Kwanini drama nyingi mara mkamate watu, kuwapiga na kuwavunja mikono na miguu na kuwatupa porini? Why all of these? Hamtaki kwenda kuthibitisha huo "uhasi" wake kisheria mahakamani...?

Mnataka kutoa hukumu kwa utashi na kwa tafsiri yenu ya neno "uhasi?"

Ndugu kuhamasisha watu kuasi mifumo hasi na kandamizi dhidi ya HAKI na UHURU wa watu kuchagua viongozi wao kwa mujibu wa sheria zetu. Na TUTAASI KWELIKWELI, HILO HALINA MJADALA na ndo maana tunasema NO REFORMS, NO ELECTION..

Kwanini tusiwaasi viongozi walio madarakani ambao honestly speaking wamejiweka tu, hatukuwachagua? Kosa gani kisheria kufanya uasi wa namna hii...?
Taratibu gani za kimahakama hazijafatwa ? Na nani kakwambia Lissu kakamatwa kwasababu ya kampeni za hiyo NO reform? Lisu kakamatwa kwa kuvunja sheria na kutoa maneno yanayochochea uhaini kosa ambalo ni kinyume na Sect 39(d) Cap 16 R.E 2022.

We endelea kuleta ushabiki wako wa kiduanzi
 
Tundu Lissu alikosea sana. Sielewi wanaomtetea wanapata wapi ujasiri. Hakuna Serikali dunia hii utatamka maneno kama hayo ikakuacha.

Tuisubiri Mahakama
Kwa nini hawataki kesi isikilizwe kwenye mahakama ya wazi na huru? Kwa nini serikali inaingilia mahakama kwenye hiyo kesi??
 
Ndio atachomola lakini uzur wake sio kesho wala keshokutwa mpk kama mwaka mmoja akitoka akafanye checkup ubeljeje
Unachekelea, hujui hii precedent mnayotengeneza itakuja kutumika na kwakwo pia mbeleni, au haupo Tz😀
 
..Samia alilenga kuwahadaa na kuwapotezea muda Chadema.

..hata Four R nazo zilikuwa hadaa tu. Sasa hivi ni kama tuko kwenye Zero R.
Samia ni mwana demokrasia alianza vizuri na 4R, akaruhusu maandamano, akaruhusu mikutano ya vyama. Pia akafuta makesi ya kubambikiza kwa wapinzani. Akawarudishia fedha wafanyabiashara zilizonyang'anywa na Magufuli. Akaenda mbali hadi kuwarudisha wakimbizi waliokuwa Ulaya akina Lissu na Lema.

Lakini CHADEMA hawakumuunga mkono. Wakaendeleza matusi, dharau kwa Rais. Walisahau kuwa uRais ni TAASISI.

Mwishowe wakaandaa maandamano ya #Samia Must Go, ndipo TAASISI ikiwapapasa kidogo kuwakumbusha wasicheze na Dola
 
Lisu kakamatwa kwa kuvunja sheria na kutoa maneno yanayochochea uhaini kosa ambalo ni kinyume na Sect 39(d) Cap 16 R.E 2022.
Kwani wewe ni mahakama? Umejuaje kuwa amevunja hiyo ☝🏻☝🏻☝🏻?

Twendeni mahakamani mkathibitishe namna hiyo Sect 39(d) Cap 16 R.E 2022 ilivyovunjwa. Mbona waoga hivyo aisee...?

Na yeye mwenyewe kasema anataka akawafundishe sheria kwenye mahakama ya wazi...!

Mbona drama nyingi huku mkivunja sheria na kutaka kuhukumu gizani? Mnaogopa nini?

Mnahofu ya kudhalilika kwa ujinga wenu wa kisheria sambamba na uongo wenu kuwekwa wazi umma ukishuhudia..??
 
Tundu Lissu alikosea sana. Sielewi wanaomtetea wanapata wapi ujasiri. Hakuna Serikali dunia hii utatamka maneno kama hayo ikakuacha.

Tuisubiri Mahakama
Huku marekani eminen aliandika matusi kabisa ........kwa raisi aliyemadarakani na hajafungwa mpaka leo..................sasa huyo lissu kuna tusi gani alilotoa mpaka mpagawe kiasi hicho??? Kumbuka maji ya bahari yapikiwi chai..........na hata ufanyeje bikira haitolewi kwa gunzi.............shombo ya papa hata upulize manukato ya gucci haiwezi kuisha
 
Kwani wewe ni mahakama? Umejuaje kuwa amevunja hiyo ☝🏻☝🏻☝🏻?

Twendeni mahakamani mkathibitishe namna hiyo Sect 39(d) Cap 16 R.E 2022 ilivyovunjwa. Mbona waoga hivyo aisee...?

Na yeye mwenyewe kasema anataka akawafundishe sheria kwenye mahakama ya wazi...!

Mbona drama nyingi huku mkivunja sheria na kutaka kuhukumu gizani? Mnaogopa nini?

Mnahofu ya kudhalilika kwa ujinga wenu wa kisheria sambamba na uongo wenu kuwekwa wazi umma ukishuhudia..??
Ingekua anaeruhusiwa kutafsiri kuna sheria imevunjwa ni mahakama tu basi polisi wasingekua na haki ya kukamata makosa ya jinai, mahakama kazi yake ni kuamua haki kuhusu kubaini ni yoyote anaruhusiwa kubaini.

Hatua iliyofata ndo hiyo kapelekwa mahakamani na kosa halina dhamana kwahiyo tulia subiri kesi iishe.
 
View attachment 3322296

Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
Nimemsikiliza mara kadhaa,nimeridhika kuwa huyu bwana anajua kuchagua maneno .. Kamusi ninayo ..tafsiri Iko wazi ila ukiwa na jazba unajikuta huelewi kinachomaanishwa..sasa tuwaachie wenye dhamana ya kitafsiri .
 
Samia ni mwana demokrasia alianza vizuri na 4R
Mwisho zikaishia kulekule Chato kwa Magufuli...

Ushahidi ni uchafuzi wa kilichoitwa "uchagu wa vijiji na mitaa" November mwaka jana 2024...

Akafanya kama "shetani" mwenzie alivyofanya mwaka 2019....

Kwa justification hii, unadhani huu wa 2025 utakuwaje? Obvious ni kama ule wa 2020 wa shetani mwenzake aliyegeuka kuwa vumbi na udongo ardhini sasa..

Uwe mwepesi kuelewa ndugu Stuxnet, kwa ushahidi huo ndio maana ikaja movement ya NO REFORMS, NO ELECTION...

Hii movement imewachukiza na mmekuwa kama vichaa mliokabidhiwa rungu na sasa mnapiga na kuua kila aliye kinyume nanyi....!

This is absolutely sanity in you...!!!
akaruhusu maandamano, akaruhusu mikutano ya vyama. Pia akafuta makesi ya kubambikiza kwa wapinzani. Akawarudishia fedha wafanyabiashara zilizonyang'anywa na Magufuli. Akaenda mbali hadi kuwarudisha wakimbizi waliokuwa Ulaya akina Lissu na Lema.
You are absolutely ignorant and insane...

Hayo yalikuwa ni masharti aliyopewa naCHADEMA ayatekeleze kabla kukaa kwenye hicho kilichoitwa "maridhuano" kwa sababu hizo ni haki za kisheria na kikatiba zilizo wazi lakini kwa makusudi na kwa sbb ya "impunity" ya utawala wa Magufuli/Samia walizikanyaga. Wanaweza vipi kuridhiana kwenye haki za kisheria na kikatiba zilizopo....?

Baadhi ya hoja kuu za maridhiano ambazo yeye na CCM yake walizipiga chini zote kwa kuwa ni tishio kwa uhai na utawala wa CCM Tanganyika ni;

1. Kufanya reforms kubwa za kikatiba na kisheria ktk mfumo wetu wa uchaguzi ili kuruhusu chaguzi huru, za wazi, haki na kuaminika...

2. Kuundwa kwa Tume Huru kwelikweli ya Uchaguzi sio hii ambayo cosmeticated kwa kubadilishwa jina tu lakini mfumo wa uteuzi na utendaji ukibaki uleule...

3. Kufanyika upya kwa mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi kwa usawa kwa kuzingatia kigezo cha idadi ya watu...

4. Kuwaondoa Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji na watumishi wote wa umma km walimu, VEOs, WEOs nk ambao kimsingi wako chini ya Rais (Mwenyekiti wa CCM na mshindani ktk uchaguzi) kuwa wasimamizi wa chaguzi zetu na badala yake tume ya Huru ya Uchaguzi iwe na watumishi wake wanaolindwa na kuwajibika kwa Tume yenyewe...

##Kama u mkweli wa nafsi yako lipi hata moja tu kati ya hayo lilikubaliwa na huyo Rais wako na 4Rs zake za uongo na hadaa tu?

##Nini kilifanyika mwaka 2024 kwenye uchaguzi wa vijiji na mitaa? Nani mwanzisha aliingia mitini na kuanzisha vurugu badala yake kati ya Chura Kiziwi (Bi Samia Suluhu Hassan)?

##Si alijishindisha kwa 99.99%? Inawezekana kwa CCM hii ambayo ni kama ilishakufa kitambo pamoja Hayati Mwl Julius Nyerere...??
Lakini CHADEMA hawakumuunga mkono.
Walimwamini na kuungwa mkono na ndio maana walikaa pamoja kwenye hayo yaliyoitwa "maridhiano" kwa mwaka plus mpaka walipomtaka afanye commitment ya kimaandishi juu ya nia yake hiyo ya kuzii - implement hizo 4Rs zake kwa njia ya kukaa na kuzungumza a.k.a Maridhiano..

Bi Chura Kiziwi a.k.a Samia Suluhu Hassan na CCM yake walikataa kila hoja kwa maandishi. Na kwa sababu hii, CHADEMA wakathibitisha moja kwa moja kuwa huyu mama na CCM ni waongo na walaghai tu wenye nia ya kupoteza muda tu ili biashara ya kuiba na kuvuruga chaguzi iendelee na ndivyo ilivyokuwa mwaka 2024 kwenye uchaguzi wa vijiji na mitaa na ushahidi upo kila mahali...!
Wakaendeleza matusi
Una mfano wa matusi hayo?

Na unajua kuwa kutukana mtu mwingine achilia mbali Rais ni jinai?

Nani alikamatwa, akashitakiwa na kuhukumiwa kwa matusi hayo?

Huoni kuwa wewe unajivika dhambi ya uongo na hukumu yake kwa ujinga wa makusudi tu..?
dharau kwa Rais. Walisahau kuwa uRais ni TAASISI.
Una mfano wa dharau hiyo..?

Shida yenu ni moja...

Ni kuwa dissent opinios za watu wanaopinga uzandiki wa sera za CCM na serikali yenu, mnawaona wana dharau. Hii sio kweli. Ni ujinga wenu tu...
Mwishowe wakaandaa maandamano ya #Samia Must Go, ndipo TAASISI ikiwapapasa kidogo kuwakumbusha wasicheze na Dola
Ni yaleyale...

Violation of the rights of the people...
 
Ingekua anaeruhusiwa kutafsiri kuna sheria imevunjwa ni mahakama tu basi polisi wasingekua na haki ya kukamata makosa ya jinai, mahakama kazi yake ni kuamua haki kuhusu kubaini ni yoyote anaruhusiwa kubaini.
Ndio maana nakuambia kuwa, WEWE NI MJINGA UNAYESTAHILI KUELIMISHWA TU. Na kama wewe ni polisi, basi utakuwa polisi mjinga kabisa usiyestahili kuwa polisi maana yamkini hukupitia chuo cha polisi kufundishwa u - polisi...!!

Kazi ya polisi sio "kutafsiri sheria na kutoa hukumu". Hili ni jukumu na kazi ya mahakama...

Kazi ya polisi ni "ku - mantain law and orders"...

Yaani wewe polisi incase ukiona mtu ambaye "unayedhani" amekiuka/vunja sheria fulani, basi unamkamata, unamfungulia mashitaka kwa kuisema au kutaja sheria aliyokiuka/vunja mtu huyo. Unapeleka mashitaka hayo mahakamani...!

Baada ya hatua hizo kwako wewe polisi, kinachofuata ni mahakama kutoa tafsiri ya sheria unayodai imevunjwa na mtuhumiwa na kisha mahakama hutoa hukumu mbili ambazo ni:

1. Negative judgement kwa mtuhumiwa (kwa maana ya mahakama kuthibitisha ni kweli sheria imevunjwa na hivyo mahakama inaweza kumkumu mtu huyo kifungo, faini nk nk kwa kadiri sheria iliyovunjwa inavyotamka). Kwa hukumu hii, mshitakiwa kuanzia saa hiyo ataitwa mfungwa na sio mtuhumiwa tena....

2. Positive judgement kwa mtuhumiwa
(kwa maana ya mahakama kusikiliza utetezi wa mtuhumiwa kuthibitisha kuwa polisi wamekosea kumtuhumu kwa kosa hilo. Mahakama ikiona na kukubaliana, itawaambia polisi MMEKOSEA na hivyo mtuhumiwa huyo huhukumiwa kwa kurudishiwa uhuru wake, huachiwa huru...!

##Hiyo👩🏻‍✈️☝🏻☝🏻☝🏻 ndiyo kazi ya mahakama...

##KWA HIYO wewe polisi na wenzako, acheni kufanya kazi ya mahakama. Ninyi hamwezi kuwa polisi na wakati huohuo mahakama..

##Mathalani, tarehe 24/4/2025 pale Kisutu, kwa sababu ya ujinga na upumbavu wa polisi kisheria, wakawakamata watu wanaodai ni wahalifu, wakawahukumu kwa kuwapiga, vunja miguu na mikono, hawakuwapeleka kwenye kituo chochote cha polisi badala yake baada ya kuwahukumu kwa vipigo na mateso wakawatupa porini wakiwa hoi kwa kufa...!!

##Nakuuliza, huo ni U - Polisi au ujambazi?

##Obvious, hao hawakuwa mapolisi wanaojua sheria na kazi yao bali lile likuwa kundi la majambazi lililovikwa magwanda ya jeshi letu la polisi..""
 
Ndio maana nakuambia kuwa, WEWE NI MJINGA UNAYESTAHILI KUELIMISHWA TU. Na kama wewe ni polisi, basi utakuwa polisi mjinga kabisa usiyestahili kuwa polisi maana yamkini hukupitia chuo cha polisi kufundishwa u - polisi...!!

Kazi ya polisi sio "kutafsiri sheria na kutoa hukumu". Hili ni jukumu na kazi ya mahakama...

Kazi ya polisi ni "ku - mantain law and orders"...

Yaani wewe polisi incase ukiona mtu ambaye "unayedhani" amekiuka/vunja sheria fulani, basi unamkamata, unamfungulia mashitaka kwa kuisema au kutaja sheria aliyokiuka/vunja mtu huyo. Unapeleka mashitaka hayo mahakamani...!

Baada ya hatua hizo kwako wewe polisi, kinachofuata ni mahakama kutoa tafsiri ya sheria unayodai imevunjwa na mtuhumiwa na kisha mahakama hutoa hukumu mbili ambazo ni:

1. Negative judgement kwa mtuhumiwa (kwa maana ya mahakama kuthibitisha ni kweli sheria imevunjwa na hivyo mahakama inaweza kumkumu mtu huyo kifungo, faini nk nk kwa kadiri sheria iliyovunjwa inavyotamka). Kwa hukumu hii, mshitakiwa kuanzia saa hiyo ataitwa mfungwa na sio mtuhumiwa tena....

2. Positive judgement kwa mtuhumiwa (kwa maana ya mahakama kusikiliza utetezi wa mtuhumiwa kuthibitisha kuwa polisi wamekosea kumtuhumu kwa kosa hilo. Mahakama ikiona na kukubaliana, itawaambia polisi MMEKOSEA na hivyo mtuhumiwa huyo huhukumiwa kwa kurudishiwa uhuru wake, huachiwa huru...!

Wanamaintain law and order wasizozijua siyo? Ili waweze kusimamia sheria ni lazima wazijue hizo sheria na zikivunjwa wamkamate muhalifu mahakama ndo itaamua haki na sijasema kuwa wao wanaamua haki, na kwa kosa alilofanya lisu kavunja sheria Sect 39(d) Cap 16 R.E 2022 , upande wa jamuhuri kazi yake ni kupelekea ushahidi mahakamani ili mahakama iamue hiyo haki

sasa tunachobishana hapo ni nini?
Au uwezo wa akili ulivyo mdogo unaona kifungu cha sheria nilichotaja ndo sikustahili kutaja? Kifungu cha sheria kilichovunjwa ni lazima kitajwe bila kutajwa hata mahakama haipokei huyo muhalifu.

Kifungu kimetajwa na baada ya kutajwa ndo maana lissu kakosa dhamana hadi leo maana kosa aliloshitakiwa nalo halina dhamana, je mahakama kumnyima dhamana kabla ya ushahidi kusikilizwa imevunja sheria ?
 
##Sasa si twendeni mahakamani ili mahakama ikatoe tafsiri ya kisheria ya maneno haya? Kwanini mnataka kutumia njia za mkato kutoa hukumu kwa kutumia tafsiri zenu za logic iliyo kwenye statement hii?

##Mnajua kabisa kuwa hakuna kosa lolote kwenye maneno hayo. Hakuna uhaini wowote kwenye maneno hayo. Uhaini upo kwenye tafsiri zenu na kwenye akili zenu. Kisheria hamuwezi kuthibitisha uhaini ktk kila neno alilotamka...!!!

=== Uchaguzi kwa sasa hautawezekana tena kwa sheria ya uchaguzi ya sasa

===Tutaasi na tutaongoza watu kufanya maasi..

===Kitanuka na tutakinukisha kweli..

##Acheni zengwe, twendeni mahakamani ili tukaone uhaini ulio kwenye maneno haya

##Shida yenu serikali (washitaki wa Tundu Lissu) hamtaki kufuata njia sahihi za kisheria na kimahakama ili kuthibitisha "uhaini" wake uliobebwa na maneno haya. Hamtaki jamaa awafafanulie maana yake akiwa mahakamani. Mnataka mtoe hukumu kwa tafsiri yenu ya kijinga na kipumbavu just to suit your evil plans and ambitions...
Hilo ndilo la msingi, tusubiri Mahakama
 
Kwa nini hawataki kesi isikilizwe kwenye mahakama ya wazi na huru? Kwa nini serikali inaingilia mahakama kwenye hiyo kesi??
Kwa kuwa akina Heche nao wanahamasisha wana Chadema kwenda Mahakamani kwa wingi wakati pale Kisutu hakuna court room ya ku-accommodate zaidi ya wasikilizaji 80.

Kwa hiyo Serikali inaepusha fujo na uvunjifu wa amani
 
Huku marekani eminen aliandika matusi kabisa ........kwa raisi aliyemadarakani na hajafungwa mpaka leo..................sasa huyo lissu kuna tusi gani alilotoa mpaka mpagawe kiasi hicho??? Kumbuka maji ya bahari yapikiwi chai..........na hata ufanyeje bikira haitolewi kwa gunzi.............shombo ya papa hata upulize manukato ya gucci haiwezi kuisha
Sasa Lissu kila mwaka anatembea Marekani kwa nini hajasemea maneno hayo huko?
 
Ndio maana nakuambia kuwa, WEWE NI MJINGA UNAYESTAHILI KUELIMISHWA TU. Na kama wewe ni polisi, basi utakuwa polisi mjinga kabisa usiyestahili kuwa polisi maana yamkini hukupitia chuo cha polisi kufundishwa u - polisi...!!

Kazi ya polisi sio "kutafsiri sheria na kutoa hukumu". Hili ni jukumu na kazi ya mahakama...

Kazi ya polisi ni "ku - mantain law and orders"...

Yaani wewe polisi incase ukiona mtu ambaye "unayedhani" amekiuka/vunja sheria fulani, basi unamkamata, unamfungulia mashitaka kwa kuisema au kutaja sheria aliyokiuka/vunja mtu huyo. Unapeleka mashitaka hayo mahakamani...!

Baada ya hatua hizo kwako wewe polisi, kinachofuata ni mahakama kutoa tafsiri ya sheria unayodai imevunjwa na mtuhumiwa na kisha mahakama hutoa hukumu mbili ambazo ni:

1. Negative judgement kwa mtuhumiwa (kwa maana ya mahakama kuthibitisha ni kweli sheria imevunjwa na hivyo mahakama inaweza kumkumu mtu huyo kifungo, faini nk nk kwa kadiri sheria iliyovunjwa inavyotamka). Kwa hukumu hii, mshitakiwa kuanzia saa hiyo ataitwa mfungwa na sio mtuhumiwa tena....

2. Positive judgement kwa mtuhumiwa (kwa maana ya mahakama kusikiliza utetezi wa mtuhumiwa kuthibitisha kuwa polisi wamekosea kumtuhumu kwa kosa hilo. Mahakama ikiona na kukubaliana, itawaambia polisi MMEKOSEA na hivyo mtuhumiwa huyo huhukumiwa kwa kurudishiwa uhuru wake, huachiwa huru...!

##Hiyo👩🏻‍✈️☝🏻☝🏻☝🏻 ndiyo kazi ya mahakama...

##KWA HIYO wewe polisi na wenzako, acheni kufanya kazi ya mahakama. Ninyi hamwezi kuwa polisi na wakati huohuo mahakama..

##Mathalani, tarehe 24/4/2025 pale Kisutu, kwa sababu ya ujinga na upumbavu wa polisi kisheria, wakawakamata watu wanaodai ni wahalifu, wakawahukumu kwa kuwapiga, vunja miguu na mikono, hawakuwapeleka kwenye kituo chochote cha polisi badala yake baada ya kuwahukumu kwa vipigo na mateso wakawatupa porini wakiwa hoi kwa kufa...!!

##Nakuuliza, huo ni U - Polisi au ujambazi?

##Obvious, hao hawakuwa mapolisi wanaojua sheria na kazi yao bali lile likuwa kundi la majambazi lililovikwa magwanda ya jeshi letu la polisi..""
Kwa vile walikaidi amri ya Polisi ya katazo la kwenda Mahakamani. Polisi siyo wajomba zako wakuchekee, huwezi kukwepa kuchezea virungu
 
Samia ni mwana demokrasia alianza vizuri na 4R, akaruhusu maandamano, akaruhusu mikutano ya vyama. Pia akafuta makesi ya kubambikiza kwa wapinzani. Akawarudishia fedha wafanyabiashara zilizonyang'anywa na Magufuli. Akaenda mbali hadi kuwarudisha wakimbizi waliokuwa Ulaya akina Lissu na Lema.

Lakini CHADEMA hawakumuunga mkono. Wakaendeleza matusi, dharau kwa Rais. Walisahau kuwa uRais ni TAASISI.

Mwishowe wakaandaa maandamano ya #Samia Must Go, ndipo TAASISI ikiwapapasa kidogo kuwakumbusha wasicheze na Dola

..nadhani watendaji hawamheshimu Mama Abduli.

..haiwezekani falsafa yake iwe 4R halafu wateule wake wanateka, wanatesa, na kuuwa.
 
Wanamaintain law and order wasizozijua siyo?
You seem to be so difficult to understand Mrs/Miss/Mr Lucha. Right...?

Anyway, nitakujibu, kwamba..

Wanazo lakini kuzitafsiri na kutoa hukumu sio kazi yao.Ni kazi ya mahakama na mahakama ndiyo yenye jukumu la kumtia mtu hatiani au la kwa mujibu wa sheria hizo...
Haya mwanasheria uchwara nijibu Ili polisi akukamate ni kitu gani lazima kiwe kimetokea?

Professionally, mimi sio mwanasheria. Isipokuwa nina basic knowledge and understanding ya mambo haya. Nimefundishwa na Tundu Lissu...😁😀😀

Wewe Lucha ndiye hasa mwanasheria Uchwara...🤔🤔🤔

Ili uelewe hili, hebu jibu kwa swali hili👇🏻👇🏻

Kwa utaratibu wa mashitaka, Unamfahamu mtu anaitwa DPP? Unajua uhusiano wake kimajukumu na polisi ktk kusimamia mashitaka...?

Nitakusaidia kuelewa:

➡DPP ni mwendesha mashitaka wa serikali...

➡Kwamba, polisi kabla hawajapeleka kesi mahakamani, lazima kwanza DPP aipitie na ajiridhishe kuwa ni kesi halali na inastahili kwenda mahakamani kwa mujibu wa sheria...

➡Ndyo maana huwa unasikia wanasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi au DPP kaondoa mashitaka mahakamani nk...

➡Katika scenario hii, unaweza kuona kuwa, principally, anayeendesha kesi mahakamani ni DPP na polisi huwa mashahidi tu. Na hapa ndipo ile dhana ya kuwa kazi ya polisi ni ku - maintain law and orders inapoingia. Kwamba, kazi ya polisi ni kukamata wote inaowashuku/kudhani kuwa wamevunja sheria au social orderly fulani..

##Baada ya maelezo hayo, basi kuanzia leo jifunze na uelewe ile basic knowledge ya somo la Uraia ulilofundishwa shuleni kuwa utendaji wa serikali umegawanyika ktk mihimili mikuu mitatu (separation of powers) ambayo ni;

1. EXECUTIVE (Rais/Serikali kuu) kusimamia na kutekeleza shughuli na majukumu ya serikali kama; kutoa huduma za kijamii (maji, umeme, kujenga barabara, mashule, hospitals nk kupitia taasisi na mashirika mbalimbali), kulinda raia na mali zao kupitia jeshi la polisi nk nk

2. LEGISLATURE/PARLIAMENT (Bunge) - Kutunga sheria na kupitisha/idhinisha mipango mbalimbali ya kijamii na maendeleo ya serikali

3. JUDICIARY (Mahakama) - Kutafsiri sheria na kutoa haki..

##Wewe hukufundishwa haya shuleni ya kuyaelewa? Unahitaji kwenda chuo cha sheria kipi ili ingalau uwe na basic knowledge ya sheria ya kukuwezesha kuelewa tofauti ya kazi ya polisi na mahakama..?
 
Umejichosha kuandika siwezi kusoma utumbo huu
 
Back
Top Bottom