PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Teh teh teh teh inamaana nguvu ya umma imeahindwa kumwokoa mzee wa kamdomo
Ni hivi, dalali aliyetaka kufia kwenye kiti alipigwa chini kihalali. Lisu hajaanza kuongea leo. Labda umemjua baada ya kumshinda mumeo.
 
Ila Tumuombeeni sana Lissu,Anapambana na wapuuzi wengi sana,huku ccem,bado Policcm,bado kuna wajinga waitwao G55.
 
Ni hivi, dalali aliyetaka kufia kwenye kiti alipigwa chini kihalali. Lisu hajaanza kuongea leo. Labda umemjua baada ya kumshinda mumeo.
Hahahahaha keyboard warriors 🤣 😂 sahv mnalia lia ku tag international communities.. si mlisema hamlembi? Hivi nyie kweli ndo mtaiweza kuzuia uchaguzi seriously?? Hahahahahahahaha
 
Ulitaka wasiendelee na shughuli zao? Mandela alipowekwa jela alieenda na weusi wote jela?
Yaani wewe unafananisha harakati za Mandela na uhuni wa Lissu? Hahahahahahaha
 
Hahahahaha keyboard warriors 🤣 😂 sahv mnalia lia ku tag international communities.. si mlisema hamlembi? Hivi nyie kweli ndo mtaiweza kuzuia uchaguzi seriously?? Hahahahahahahaha
Kwa taarifa yako hata Mandela alikaa jela zaidi ya miaka 20 na hakuna kilichozuia. Tunasubiri atoke huko anakowekwa akitoka aende ikulu kama dalali wa chama.
 
Huwezi fananisha harakati za Mandela na fools errands na worthless pursuits za akina Lissu!! Wanachofanya hao thugs ni wild goose chase 🤣🤣🤣
 
Tofauti yao ni kuwa ww hukuwa na nongwa na Mandela.
Hapo sahv unatype huku ukichezea vinyweleo vya mwenza wako mwenzio ananyea ndoo na kuliwa na mbu huko... halafu eti anawategemea kima kama nyie hahahahaha
 
Huwezi fananisha harakati za Mandela na fools errands na worthless pursuits za akina Lissu!! Wanachofanya hao thugs ni wild goose chase 🤣🤣🤣
Uko sahihi kabisa mchepuko wa Mbowe, lakini NRNE iko palepale, nyie G55 endeleeni na project ya ccm.
 
Hapo sahv unatype huku ukichezea vinyweleo vya mwenza wako mwenzio ananyea ndoo na kuliwa na mbu huko... halafu eti anawategemea kima kama nyie hahahahaha
Hayo ndio maisha ya mwanaume, hamna jipya hapo.
 
Uko sahihi kabisa mchepuko wa Mbowe, lakini NRNE iko palepale, nyie G55 endeleeni na project ya ccm.
NRNE kwa kilichotokea leo pale uwanjani ni ndoto za mchana hahahahahaha... hapo umeshiba maharage unajamba tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hayo ndio maisha ya mwanaume, hamna jipya hapo.
Mwanaume kujitapa kwenye keyboard?? Yaani yule malaya wa Nairobi anavyoqndika huko X hadi huruma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom