PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uchaguzi wa CHADEMA uliona? ule ndio usawa wenyewe kwa vitendo je? ni sawa na ule uhuni wa mafisadi CCM ambao wezi wa mali za uma waliwalipa chawa na kuwagharamia kuunga mkono ule uhuni ulio kiuka katiba ya chama? Ili waendelee kujilinda na kulinda wizi wao kwa mgongo wa chama.? Tuwe wazalendo kwa nchi ili uwe faida hata kwa vizazi vyetu vijavyo tuachane na akili ,za kuwa wazalendo kwa watu wenye pesa na chama kuliko nchi ambao ndio uridhi wa vizazi vijavayo ili tusije kulaumiwa kama sisi tunavyo laumu mababu zetu kwa kupokea shanga na kutoa almasi.tuijenge nchi wa maslahi ya nchi
Uchaguzi wa kutukanana kama watoto wadogo?
 
Kwa Tanzania yetu bado sana mkuu unafikiri kama ni majiran zetu kenya nini kingetokea apo

Nawaza umkamate Baba Raila Odinga mkutanoni, halafu kimya kuanzia online TV, mabarabarani, radio za jamii.

Tanzania sasa jamii yake ndiyo ina testi-wa na watawala kuona kama kitanuka, siasa za mshikemshike nchini kote au wale viongozi waliofanya mapinduzi ndani ya CHADEMA kumuondoa mwenyekiti aliyekaa muda mrefu watakuwa fronti kukinukisha

SAFU MPYA YA UONGOZI ITOE TAMKO HARAKA
1744223670289.jpeg

1744223744405.jpeg
 
We jamaa bwana.....umeshakuwa compromised. Enzi za Magu ulivyokuwa unalia lia sasa.

Kweli kutesa kwa zamu. Kama sio wewe vile😅😅
Unataka niendelee kupinga tu kwa vile nilimpinga Magufuli?? Hawa mapimbi wamemkosea Samia.

Aliwaleta vizuri ila wao wakamletea dharau, waache wale jeuri yao.

Kumbuka wakati wa Magufuli hakukuwa mikutano, watu walipigwa risasi, akina Lissu na Lema walikuwa nje ukimbuzini, wafanyabiashara walinya g'anywa fedha. Almekuja Samia akasawazisha yote hayo. Ila mijitu haina shukrani kutwa kumkejeli Rais. Waache wanyee choo leo, kesho mtawatoa
 
Ndio maana wanawaleta wanachama wao.

Nyie wanakuja kukushangaeni mnasema ni Nguvu ya Umma,

Kama mumeshindwa kumlinda Mwenyekiti wenu ndio mtazuia uchaguzi? 😂😂
Bwahaa bwahaaa ,nimecheka kwa nguvu ile mbaya, ukashangae mtu anayetangazwa kila siku. Na hilo nyomi lote hakuna aliyekwenda kwa vitisho wala kuhongwa. Mwenyekiti kachukuliwa na wenye silaha na sio makada wa ccm. Wangeenda Nchimbi na Makala wakamchukue tuone.

Nchimbi alikuwa na ziara za huko, naona hana mvuto kafunikwa na Lisu hata haifahamiki bado anaendelea au kasitisha safari😂😂
 
Nawaza umkamate Baba Raila Odinga mkutanoni, halafu kimya kuanzia online TV, mabarabarani, radio za jamii.

Tanzania sasa jamii yake ndiyo ina testi-wa na watawala kuona kama kitanuka, siasa za mshikemshike nchini kote au wale viongozi waliofanya mapinduzi ndani ya CHADEMA kumuondoa mwenyekiti aliyekaa muda mrefu watakuwa fronti kukinukisha
Wewe hapo upo JF unaandamana.
 
Bwahaa bwahaaa ,nimecheka kwa nguvu ile mbaya, ukashangae mtu anayetangazwa kila siku. Na hilo nyomi lote hakuna aliyekwenda kwa vitisho wala kuhongwa. Mwenyekiti kachukuliwa na wenye silaha na sio makada wa ccm. Wangeenda Nchimbi na Makala wakamchukue tuone.

Nchimbi alikuwa na ziara za huko, naona hana mvuto kafunikwa na Lisu hata haifahamiki bado anaendelea au kasitisha safari😂😂
Kaandamane boss! Mwenyekiti uchwara Lissu ameshakamatwa huko Mbamba bay tena mbele ya nyomi ya watz lakini wao waliendelea na mission zao tu. Hapo ndio ujue siyo wote wanaoenda kwenye mikutano yake ni wafuasi wake wengine wanaenda kusikiliza pumba zake tu.
 
Kwa nini nyomi lisimsaidie Kuitwa mbaroni? 😁😁
 
Unataka niendelee kupinga tu kwa vile nilimpinga Magufuli?? Hawa mapimbi wamemkosea Samia.

Aliwaleta vizuri ila wao wakamletea dharau, waache wale jeuri yao.

Kumbuka wakati wa Magufuli hakukuwa mikutano, watu walipigwa risasi, akina Lissu na Lema walikuwa nje ukimbuzini, wafanyabiashara walinya g'anywa fedha. Almekuja Samia akasawazisha yote hayo. Ila mijitu haina shukrani kutwa kumkejeli Rais. Waache wanyee choo leo, kesho mtawatoa
Kaandamane boss! Mwenyekiti uchwara Lissu ameshakamatwa huko Mbamba bay tena mbele ya nyomi ya watz lakini wao waliendelea na mission zao tu. Hapo ndio ujue siyo wote wanaoenda kwenye mikutano yake ni wafuasi wake wengine wanaenda kusikiliza pumba zake tu.
😡
 
Kama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya. wafuasi wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!
Wamvundike tu ndani,asiende mahakani Wala Nini,kama wale masheikh wa uamsho
 
Back
Top Bottom