PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa mbona hao Wananchi hawamsaidii wanapiga tuu makelele yasiyo na maana ?

Ndio maana nawaambia kujaza.mikutano hakunaga maana hapa Tanzania Kwa Upinzani
Kwamba wanamchi wazichape na Polisi siyo? Ipo siku.Tunaweza tusiione sisi lakini ipo siku. Ila ingependeza sana kama hiyo siku tungeishuhudiaa wote maana nyie CCM na polisi wenu mnawadharau sana watanzania.
 
Hiyo ndio inayitakiwa sasa. Ww na dalali wa demokrasia hiyo kwenu ni hofu. Na vile mbinu ya G55 imebuma, lazima vyombo vya dola vitumike.
Waliandika Walaka ukabuma, wakaenda Press ikabuma.
 
Kwamba wanamchi wazichape na Polisi siyo? Ipo siku.Tunaweza tusiione sisi lakini ipo siku. Ila ingependeza sana kama hiyo siku tungeishuhudiaa wote maana nyie CCM na polisi wenu mnawadharau sana watanzania.
Hiyo siku itakuja sio Kwa kuhimizwa na Wanasiasa.

Ajenda za Wanasiasa ni kushika Dola kutawala Wananchi na sio Kwa maslahi ya Wananchi ndio maana movements za Wanasiasa hazilwtagi reforms.
 
Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi

Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
View attachment 3298029
Tundu anadhani ataingia Ikulu kwa sababu tu ya sympathy ya kupigwa risasi na Magufuli!!

Kama ningekuwa mtu wake wa karibu ningemshauri aangalie mambo ya familia yake tu kwa vile Mungu amempa nafasi ya pili ya kuishi.

URais wa Tanzania ni fumbo gumu sana. Wanoutafuta sana kwa umaarufu na fedha huwa hawaupati. Mfano Lowassa na Maalim Seif na Bernard Membe
 
Labda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.
Magufuli alishindanaye na kutaka kumuua ila Tundu ameshinda na Magufuli ameshindwa na saivi ameshaliwa na wadudu huko kaburini aliko bado kuchomwa tu mda ukifika.
 
Kama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya. wafuasi wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!
Kama kakosea yeye hajakataa wito wa policcm na sheria anazijua. Kama amevunja wangemwita na sio hivyo. Maana yake ni ccm wanashindwa hoja hutumia police.
 
Tundu anadhani ataingia Ikulu kwa sababu tu ya sympathy ya kupigwa risasi na Magufuli!!

Kama ningekuwa mtu wake wa karibu ningemshauri aangalie mambo ya familia yake tu kwa vile Mungu amempa nafasi ya pili ya kuishi.

URais wa Tanzania ni fumbo gumu sana. Wanoutafuta sana kwa umaarufu na fedha huwa hawaupati. Mfano Lowassa na Maalim Seif na Bernard Membe
Na hakuna siku ccm itatoa serikali kisa wameshindwa.
 
Je 2025 watanzania wameiva kwa struggle (mapambano ya kisiasa), au bado watakuwa watazamaji na washangiliaji huku viongozi wao wanakamatwa ?

Tukio hili linatakiwa kuanzisha maandanano nchini kote kumkingia kifua na pia haki yao ya waTanzania kupata mabadiliko waweze kuchagua viongozi wanaowataka kupitia uchaguzi huru wa haki utakaoleta Maendeleo kwa Watu
 
Samia akoiona na kusikia mtu mwingine anaitwa rais anachanganyikiwa. JPM halikuwa somo tosha kwake. Mda utaongeza zaidi
😅😅😅Ndugu yangu hata ingelikuwa wewe. Unafanya mkutano watu hawaji mpaka uwalipe pesa, ukusanye wasanii 10. Mwingine anapiga mdomo tu na pointi tupu bila hata hela ya soda.

Kiroho kinauma bwana😅
 
Sasa mbona hao Wananchi hawamsaidii wanapiga tuu makelele yasiyo na maana ?

Ndio maana nawaambia kujaza.mikutano hakunaga maana hapa Tanzania Kwa Upinzani
Ndo shida ya Tz. Kama vile mpo pamoja halafu wanakuacha wanarudi kwa wake zao, kama huna namna ya kukwepa mishale kama TAL inakula kwako.
 
Tundu anadhani ataingia Ikulu kwa sababu tu ya sympathy ya kupigwa risasi na Magufuli!!

Kama ningekuwa mtu wake wa karibu ningemshauri aangalie mambo ya familia yake tu kwa vile Mungu amempa nafasi ya pili ya kuishi.

URais wa Tanzania ni fumbo gumu sana. Wanoutafuta sana kwa umaarufu na fedha huwa hawaupati. Mfano Lowassa na Maalim Seif na Bernard Membe
We jamaa bwana.....umeshakuwa compromised. Enzi za Magu ulivyokuwa unalia lia sasa.

Kweli kutesa kwa zamu. Kama sio wewe vile😅😅
 
Back
Top Bottom