PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ki ukweli kabisa, Aliyepo sasa akae akijua, 2025 akalee wajukuu zake kizimkazi ungujani
 
Kama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya wafuasi. wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!
😡
 
Nilijua tu litatokea. Na Bado wanakusanya data. Lissu Mdomo wake haujatahiriwa.

Unaweza kuwa na hoja Lakini ukaiwasilisha vibaya kwa utaratibu haramu.
 
Huu Upumbavu ndo unatia hasira saanaa kwa sisi wapenda Demokrasia, wao kama wanahudumia vizuri wananchi sasa hofu ya nini aise
Mna hasara kweli nyie au zinaishia Kwa wake zenu? 😁😁
 
Nilijua tu litatokea. Na Bado wanakusanya data. Lissu Mdomo wake haujatahiriwa.

Unaweza kuwa na hoja Lakini ukaiwasilisha vibaya kwa utaratibu haramu.
Lissu amewalaza na viatu.
 
Unahamu kuyashuhudia hayo?

utayaona na hutaamini
Niyaone wapi na hamjamsaidia Mwenyekiti wenu wa no reform?

Kila siku nawaambia humu Mabadiliko yataletwa automatically na Wananchi na sio Wanasiasa,hakuna mahala Duniani Wanasiasa walileta Mabadiliko
 
Ila kwa ccm kujaza mikutano kuna maana.
Ndio maana wanawaleta wanachama wao.

Nyie wanakuja kukushangaeni mnasema ni Nguvu ya Umma,

Kama mumeshindwa kumlinda Mwenyekiti wenu ndio mtazuia uchaguzi? 😂😂
 
Back
Top Bottom