Kwamba tuache waibe mpk siku wakiamua kuacha ? Ebu tembea uone wenzio hawanq aman maana wanalala barabarani na hao unaowaona watukufu ( ccmu ) kutwa wanawalawiti hao walalahoi wa Tz , ifike muda uone aibu
CCMU sio chama kibovu ila watu wapumbav kama ww ndo unawafanya ccmu wasahau wajibu wao maan unakingia kifua kila maovu yao
Ccmu kuua watu ni sahihi ? Na kwakp unaona hii haiez chochea uasi ?
Kwako unaamin aman ya kwel inapatikana kwa kukalia kimya uovu wa ccmu?
Ccmu kutoheshimu maoni ya wengi , kwako hii sio kichochea uasi
Kwako unahis amani itapatikana
Wewe kama sio una maslahi na chadema basi kijana uliyeamua kuweka ubongo wako nje ya kichwa chako na kutegemea fikra za viongozi wako tu ndio zikuongoze.maana unaendeshwa zaidi na hisia kuliko fikra na uhalisia.
Nimeuliza,ni nchi gani duniani ambayo mtu atatangaza kufanya uasi halafu mamlaka za ulinzi na usama zitamuacha tu? Hujajibu!
Badala yake unazungumzia masuala ya kuiba,kulawiti na watu kulala nje na jinsi unavojitoa ufahamu unayahusisha na chama Mambo ambayo hufanywa na mtu binafsi kwa hulka na tabia zake.
halafu inaonekana wewe unaona kama kina lisu ni malaika vile,hawajawahi kukosea na hawatakosea.unajisahaulisha ni wao ndio waliomchafua marehemu lowasa kuwa ni fisadi alipokua ccm,ila alipojiunga nao,wao ndio wakasema lowasa ni mtu safi!
Unavosema ccm ina ua watu una ushahidi? Uliwahi kufungua kesi na kuonesha ushahidi wa hizo tuhuma zako dhidi ya ccm?
Sasa kama unaweza kuwaamini 100% wanasiasa hasa hawa waliojithibitisha kuwa na ndimi mbili basi shida ipo kwako na si kwao.maana wao wanatafuta ugali.
na ujue tu hata marekani nchi yenye marais zaidi ya 40 bado kuna watu wanalala nje.unajua kwanini? Hakuna kiongozi duniani anayepambania malengo ya mtu.kazi ya kiongozi ni kuonesha njia (kuzisogeza na kuzifunua fursa) ila swala nani azifuate na kuzitumia linabaki kwa mtu binafsi kulingana na hobi na malengo yake.
Kwa hiyo kama una mawazo kuwa kuna kiongozi anakupambania kiasi kwamba unakua tayari hata kwa machafuko pole sana.
Katika nchi za kidemokrasia mabadiliko ya sheria,kanuni na katiba asilimia kubwa hufanyika ndani ya bunge.kwa sababu wabunge ndio wawakilishi wa wananchi.sasa ni lini wabunge walipeleka muswada wowote na bunge likaupisha halafu serikali ikapuuza maamuzi ya wabunge hadi useme serkali inadharau maoni ya wengi?