Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Sasa mbona wanaleta fujo kwenye mkutano ulioenda kwa amani?.
Kukuzidi wewe mkuu?!!!Mpumbavu sana wewe!
Ulikuwepo?!!!Sasa mbona wanaleta fujo kwenye mkutano ulioenda kwa amani?.
Wewe unategemea Lissu atakufanya uwe na maisha mazuri? Lissu anatumwa na Wabelgiji kwahiyo yuko kwa ajilj ha manufaa ya Wabelgiji wewe pambana na maisha yako.Mnaufurahia umaskini na ufukara wa watanganyika kwa kuwa watetezi wa kikundi kidogo ndani ya CCM kilicho jitengenezea mirija kwenye mali za watanganyika na ninyi mmekubali kuwa watetezi wao bila kujijua, wenzenu wanatetea mali walizo chuma na wanazo endelea kuzichuma zisipotee ili zitumike vizazi vyao vyote ndio maana wanatumia mgogo wa CCM na wafuasi wasio elewa chochote kama manyumbu ili kuzilinda kwa gharama yeyote.
, wewe fikiria tuu watoto wa watoto wako ( wajukuu zako) wataikuta hii nchi ikiwa katika hali gani ikiwa wewe katika ujana wako umekubali kuwa chawa wa walio jitengenezea mirija ya kuitafuna nchi.? Wakati huo wewe huna maana tena nchi hii huna nguvu umezeeka na haujashiriki kutengeneza mifumo imara ya vizazi na vizazi, bali umekubali kuwa mtetezi wa wanufaika ambao wanakutumia kwa maslahi yao na familia zao tuu kwa mgongo wa CCM na wala si kwa maslahi ya watanganyika wa baadae ambao ni wajukuu zako?
Tujifunze kuwa wazalendo kwa nchi kwanza baladala ya kuwa wazalendo kwa chama na kuwa wazalendo kwa mtu, ili tuijenge kesho ya taifa na wajukuu.
Waislam na roho zenu mbaya mkiulizwa hapo mnafurahia kafanya kosa gani la kustahili hayo unayo yasema , huna jibuKitu Cha kwanza akishatoka mkagueni linda a.k.a sega, tafadhalini sana zingatieni hilo......mtakuja kunikumbuka.
Kibaraka kivipi, kwa vile anawaumbua?Labda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.
Askari aweza shika silaha yeyote kwani uliambiwa lazima ashike bunduki?Hilo kundi la polisi,Kuna polisi kashika PANGA. hii inakaake
Kwani we umekalia mboo wakati unaongea haya?!!! Uislami umekujaje Sasa?!!! Au aunti aggrey wewe?!!!Waislam na roho zenu mbaya mkiulizwa hapo mnafurahia kafanya kosa gani la kustahili hayo unayo yasema , huna jibu
Always MunguShetani hajawahi kumshinda Mungu
😡Unavofikiri wewe kutangaza hadharani kuwa utazuia uchaguzi sio kosa?
Basi Kama utakua unadhani hivyo basi tuishie hapa.maana hata yeye lisu kasema anajua kuwa anachotangaza kukifanya ni uvunjifu wa katiba na ni uasi Katika nchi.kama wewe hulijui hilo lisu analijua Na kajiandaa kwa gharama zake bila shaka.
shida ipo kwa wafuasi wake,je na wao wamejiandaa au wanapelekwa tu kama wafuasi wa kibwetere?
Kwani wewe uhuru unao ufurahia leo si ulipambaniwa na nyerere,? Africa kusini walipambaniwa na mandela tu, elewa kinacho pambaniwa hapo ni mifumo ya kiutawala ambayo italeta uwajibikaji na usawa na matumizi sahihi ya mali za umma sio sasa kundi dogo linalo chuma mali liwatumia wajinga kama ninyi kuwatetea bila nyie wenyewe kujijua , nyie mnakaza mafuvu kuamini mnatetea CCM kumbe hamjui mnatetea mabwanyenye wachache sana ndani ya chama yaliyo jichumia mali za wizi na yanawatumia nyie myasaidie kuzilinda kwa mgongo wa chama, stukeni nyie wajiga kesho wa wajukuu zenu itakuwa mbaya sana wakati ninyi kwenye ujana wenu mnatumika na kuuza utu wenu kwa masllahi ya wachache ndani ya ccm, baada ya kuwa wazalendo kwa nchi mnakuwa wazalendo kwa wezi walio jificha kwenye chama, maana mabadiliko ni kama fagio ndio maana wezi hawataki kuyasikiaWewe unategemea Lissu atakufanya uwe na maisha mazuri? Lissu anatumwa na Wabelgiji kwahiyo yuko kwa ajilj ha manufaa ya Wabelgiji wewe pambana na maisha yako.
Maneno ya walislam haya wala hayanipi shida kwa sababu mnajulika kwa matusi na ujingaKwani we umekalia mboo wakati unaongea haya?!!! Uislami umekujaje Sasa?!!! Au aunti aggrey wewe?!!!
wananchi nao wakishika inakuwaje hapoAskari aweza shika silaha yeyote kwani uliambiwa lazima ashike bunduki?
Hapo Chadema kuna usawa?Kwani wewe uhuru unao ufurahia leo si ulipambaniwa na nyerere,? Africa kusini walipambaniwa na mandela tu, elewa kinacho pambaniwa hapo ni mifumo ya kiutawala ambayo italeta uwajibikaji na usawa na matumizi sahihi ya mali za umma sio sasa kundi dogo linalo chuma mali liwatumia wajinga kama ninyi kuwatetea bila nyie wenyewe kujijua , nyie mnakaza mafuvu kuamini mnatetea CCM kumbe hamjui mnatetea mabwanyenye wachache sana ndani ya chama yaliyo jichumia mali za wizi na yanawatumia nyie myasaidie kuzilinda kwa mgongo wa chama, stukeni nyie wajiga kesho wa wajukuu zenu itakuwa mbaya sana wakati ninyi kwenye ujana wenu mnatumika na kuuza utu wenu kwa masllahi ya wachache ndani ya ccm, maana mabadiliko ni kama fagio .
Vipi Mkuu watu walijaa sana hapo Mbamba-BayPamoja na Mechi nzito ya Simba ....MBAMBABAY salute mingi kwenu!!!!!
Uchaguzi wa CHADEMA uliona? ule ndio usawa wenyewe kwa vitendo je? ni sawa na ule uhuni wa mafisadi CCM ambao wezi wa mali za uma waliwalipa chawa na kuwagharamia kuunga mkono ule uhuni ulio kiuka katiba ya chama? Ili waendelee kujilinda na kulinda wizi wao kwa mgongo wa chama.? Tuwe wazalendo kwa nchi ili uwe faida hata kwa vizazi vyetu vijavyo tuachane na akili ,za kuwa wazalendo kwa watu wenye pesa na chama kuliko nchi ambao ndio uridhi wa vizazi vijavayo ili tusije kulaumiwa kama sisi tunavyo laumu mababu zetu kwa kupokea shanga na kutoa almasi.tuijenge nchi wa maslahi ya nchiHapo Chadema kuna usawa?
Halafu jamaa anakamatwa hapo hapo!! 🤣🤣🤣Vipi Mkuu watu walijaa sana hapo Mbamba-Bay