ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Waulize Polisi unamuuliza nani?Sasa hofu ya nini mpaka mnamkamata??
Waulize Polisi unamuuliza nani?Sasa hofu ya nini mpaka mnamkamata??
Watanzania wanacho jua ni kushangilia tuu hawana lingineKwa Tanzania yetu bado sana mkuu unafikiri kama ni majiran zetu kenya nini kingetokea apo
Vipi nenda kamtoe. Mtaweza kuzuia uchaguzi nyinyi kweli?Sasa hofu ya nini mpaka mnamkamata??
Polisi si wametumwaWaulize Polisi unamuuliza nani?
Na nani?Polisi si wametumwa
Nenda kawapige leo huko MbingaIpo siku polis tutawapiga kwa nguvu ya umma Kwa kuendelea kuendekeza ujinga wao.kwa Nini ccm hawajawahi kuwafanya huo uhuni wao ispokuwa ni CHADEMA tu?
Wewe lazima ni muislamVipi mbona hujaandamana kwenda kumtoa? Kweli mtazuia uchaguzi Octoba!??
Na bosi waoNa nani?
Kwa nini walipiga mabomu wakati wa kumkamata?Vipi mbona hujaandamana kwenda kumtoa? Kweli mtazuia uchaguzi Octoba!??
Hamna mvuto mmebaki kutegemea Polisi.Vipi nenda kamtoe. Mtaweza kuzuia uchaguzi nyinyi kweli?
Muulize boss wao sasaNa bosi wao
Dini inasaidia nini? Tena zakuletwa na wazungu na waarabu?Wewe lazima ni muislam
Mvuto wa nini ? Kwani wewe ni mwanamke?Hamna mvuto mmebaki kutegemea Polisi.
Kwani ana hoja?!!! Ipo, ya kuzuia uchaguzi?!!!!! Karibuni.Hawa ndiyo wale wale wanaotegemea kubebwa. Jibu hoja za huyo Lissu sio kurukaruka huku mtandaoni
mbona ume Panic bro.......Labda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.
Ifikie hatua serikali yangu inayoongozwa na CCM, ikubali kufanya marekebisho ya tume ya uchaguzi au hata katiba nzima.Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi
Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
View attachment 3298029
Kwani si ndio watetezi wakuu wa muislam mwenzenu anaye linda wala rushwa na wabadhirifu pamoja na kuwapa wajomba mali za watanganyika sio!?Dini inasaidia nini? Tena zakuletwa na wazungu na waarabu?
Tuliwaambia nyinyi hamwezi zuia uchaguzi haya Mwenyekiti wenu uchwara ameshakamatwa kamtoe sasa.Kwa nini walipiga mabomu wakati wa kumkamata?
Mabango nchi nzima lakini hakubaliki mpaka aibu!Mvuto wa nini ? Kwani wewe ni mwanamke?
Kunywa UJI ukalale.Labda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.