PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani si ndio watetezi wakuu wa muislam mwenzenu anaye linda wala rushwa na wabadhirifu pamoja na kuwapa wajomba mali za watanganyika sio!?
Mimi dini yangu ni ya Kiafrika mkuu
 
Magufuli alishindanaye na kutaka kumuua ila Tundu ameshinda na Magufuli ameshindwa na saivi ameshaliwa na wadudu huko kaburini aliko bado kuchomwa tu mda ukifika.
Akili za nyumbu lazima ziongee hivyo, tusubiri oktoba 2025
 
Mimi dini yangu ni ya Kiafrika mkuu
Mnaufurahia umaskini na ufukara wa watanganyika kwa kuwa watetezi wa kikundi kidogo ndani ya CCM kilicho jitengenezea mirija kwenye mali za watanganyika na ninyi mmekubali kuwa watetezi wao bila kujijua, wenzenu wanatetea mali walizo chuma na wanazo endelea kuzichuma zisipotee ili zitumike vizazi vyao vyote ndio maana wanatumia mgogo wa CCM na wafuasi wasio elewa chochote kama manyumbu ili kuzilinda kwa gharama yeyote.

, wewe fikiria tuu watoto wa watoto wako ( wajukuu zako) wataikuta hii nchi ikiwa katika hali gani ikiwa wewe katika ujana wako umekubali kuwa chawa wa walio jitengenezea mirija ya kuitafuna nchi.? Wakati huo wewe huna maana tena nchi hii huna nguvu umezeeka na haujashiriki kutengeneza mifumo imara ya vizazi na vizazi, bali umekubali kuwa mtetezi wa wanufaika ambao wanakutumia kwa maslahi yao na familia zao tuu kwa mgongo wa CCM na wala si kwa maslahi ya watanganyika wa baadae ambao ni wajukuu zako?

Tujifunze kuwa wazalendo kwa nchi kwanza baladala ya kuwa wazalendo kwa chama na kuwa wazalendo kwa mtu, ili tuijenge kesho ya taifa na wajukuu.
 
Back
Top Bottom