PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Change is a process, not an event

Lini wananchi watachagiza haki yao mchakato huo (process) uanze sasa baada ya kusuasua tangu 1992 hadi leo 2025 ...kutokana na CCM kuhodhi mchakato huo kwa muda mrefu bila mabadiliko kadhaa chanya yenye tumaini na kuaminika ?
 
Ipo siku polis tutawapiga kwa nguvu ya umma Kwa kuendelea kuendekeza ujinga wao.kwa Nini ccm hawajawahi kuwafanya huo uhuni wao ispokuwa ni CHADEMA tu?
 
Huu ndo uhuni wanataka tena kuleta hapa ndo wanaliamsha! Tundu lisu ni muujiza toka mbinguni huwezi kushindana naye ukashinda!
Acha kukufuru wewe. Muujuza toka mbinguni labda kwa kuropoka. Kama mbinguni kwako kunatoa miujuza namna hii hiyo mbinu ni kituko.
 
Kama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya. wafuasi wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!
Tusaidie kavunja sheria ipi, sisi wengine hatujui, Mimi nampenda mama lakini nina wasiwasi kama anawashauri wazuri, hii nikusababiha tu Dunia nzima imwone mama kuwa anashida angeachwa amalize ziara zake na CCM wafanye za kwao mwisho wa siku uchaguzi utaendelea na mshindi anajulikana
 
Sometimes polisi wanajidhalilisha sana
 
Hata kule kwingine yanakotokea mwanzo wake ulikuwa kama huu. It’s just a matter of time!
Hamna kitu hapo watanzania sisi waoga wa kifo asikuambie mtu wali ndizi mbivu na maharage ya nazi changanya na mchuzi wa nyama au wa samaki pembeni juice ya baridi ya embe hamna mtu asiependa hii menyu
 
Hiyo ndio inayitakiwa sasa. Ww na dalali wa demokrasia hiyo kwenu ni hofu. Na vile mbinu ya G55 imebuma, lazima vyombo vya dola vitumike.
Lissu kachukuliwa na polisi au wananchi wamezuia hajachukuliwa? Jibu swali
 
Back
Top Bottom