PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapana, hao wanalibda usalama tu. Wananchi ndiyo wanaotegemewa
Screenshot_20250405_004444_X.jpg

Hapa alikuwa analinda usalama wako??
 
RPC na OCD wa huko mbinga wafikishwe the hague
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Polisi mnatia aibu sana
Hivi kuna ubaya gani kuacha hawa wanasiasa wafanye kazi zao za siasa ilimradi hawavunji sheria za nchi???
 
Bwahaa bwahaaa ,nimecheka kwa nguvu ile mbaya, ukashangae mtu anayetangazwa kila siku. Na hilo nyomi lote hakuna aliyekwenda kwa vitisho wala kuhongwa. Mwenyekiti kachukuliwa na wenye silaha na sio makada wa ccm. Wangeenda Nchimbi na Makala wakamchukue tuone.

Nchimbi alikuwa na ziara za huko, naona hana mvuto kafunikwa na Lisu hata haifahamiki bado anaendelea au kasitisha safari😂😂
Kelele za jf hazitawasaidia
 
Kumbe kachukuliwa na polisi, nilidhani ni Nchimbi au Makala wameenda kumchukua. Tunasubiri kama akiachiwa ataenda ikulu moja kwa moja.
Teh teh teh teh inamaana nguvu ya umma imeahindwa kumwokoa mzee wa kamdomo
 
Sio wa Kwanza hata kina Mogabe, Mandela, Nyerere na mashujaa wengine wengi waliwahi kukamatwa na Serikali za kidhalimu
Sema kikoloni 😂😂😂 kamdomo tu kamemjaa na tumbo lake lililojaa minyoo ila matendo aaaah 😂
 
Kaandamane boss! Mwenyekiti uchwara Lissu ameshakamatwa huko Mbamba bay tena mbele ya nyomi ya watz lakini wao waliendelea na mission zao tu. Hapo ndio ujue siyo wote wanaoenda kwenye mikutano yake ni wafuasi wake wengine wanaenda kusikiliza pumba zake tu.
Ulitaka wasiendelee na shughuli zao? Mandela alipowekwa jela alieenda na weusi wote jela?
 
Back
Top Bottom