Kibaraka ni wewe unaewatetea wakandamizaji wa demokrasia, nakujifanya mzalendo kumbe unatetea maboSi wako kina nchimbi na samia! Fala mtumwa kuwatetea wanyonyaji wa ccm!Labda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni
Labda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.
Acha kuchochea maafa.Kwa nini nyomi lisimsaidie Kuitwa mbaroni? ππ
AFADHALI UNAZIBUA AKILI SISI TUNAOSHABIKIA KITU TUSICHO KIJUA KISHERIA KIMEKAAJE!???? CHUKUWA PEPSI BARIIDI HATA KUMI NITAKUJA KULIPAKama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya. wafuasi wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!
Huko uwanja wa taifa washapiga 31B ww kwako umeme unakatika mara 10 kwa siku na bado unasifu ujingaLabda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.
Hawataweza wataanguka vibaya hapa kinachotakiwa ni REFORMS sio kutuma OCD wala RPC.Ccm wanajaribu kushindana na mdaπππππ
Unashauri Chadema itumie njia gani nzuri kuwezesha kushinda chaguzi?Mimi namuelewa sana lisu na sera zaka na falsafa zake lakini njia anayotumia bi mbovu inaamsha machafuko
Kumbe!Ulitaka wasiendelee na shughuli zao? Mandela alipowekwa jela alieenda na weusi wote jela?
Na kupora HAKI zetu za Kikatiba nazo ni nini?!AFADHALI UNAZIBUA AKILI SISI TUNAOSHABIKIA KITU TUSICHO KIJUA KISHERIA KIMEKAAJE!???? CHUKUWA PEPSI BARIIDI HATA KUMI NITAKUJA KULIPA
Kwamba tuache waibe mpk siku wakiamua kuacha ? Ebu tembea uone wenzio hawanq aman maana wanalala barabarani na hao unaowaona watukufu ( ccmu ) kutwa wanawalawiti hao walalahoi wa Tz , ifike muda uone aibuKama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya. wafuasi wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!
Binafsi naona waasi namba moja ni CCM maana wamejimilikisha mamlaka bila kuwatumikia watanzania. Jana kwenye mkutano wa lisu alikuwa anaonesha namna makaa ya mawe yanavyosombwa malori kwa malori huo kama sio UASI wa serikali ya CCM kwa rasilimali za nchi hii ni nini?Kwamba tuache waibe mpk siku wakiamua kuacha ? Ebu tembea uone wenzio hawanq aman maana wanalala barabarani na hao unaowaona watukufu ( ccmu ) kutwa wanawalawiti hao walalahoi wa Tz , ifike muda uone aibu
CCMU sio chama kibovu ila watu wapumbav kama ww ndo unawafanya ccmu wasahau wajibu wao maan unakingia kifua kila maovu yao
Ccmu kuua watu ni sahihi ? Na kwakp unaona hii haiez chochea uasi ?
Kwako unaamin aman ya kwel inapatikana kwa kukalia kimya uovu wa ccmu?
Ccmu kutoheshimu maoni ya wengi , kwako hii sio kichochea uasi
Kwako unahis amani itapatikana
Yaani polis wetu kwa kweli wanakosa timing Sana...hivi shida ni nini?Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi
Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
View attachment 3298029
Mimi namuelewa sana lisu na sera zaka na falsafa zake lakini njia anayotumia bi mbovu inaamsha machafuko
Ni kheri iwe hivyo kuliko kuwa kibaraka wa wazungu, remote ikiwa kenyaKibaraka ni wewe unaewatetea wakandamizaji wa demokrasia, nakujifanya mzalendo kumbe unatetea maboSi wako kina nchimbi na samia! Fala mtumwa kuwatetea wanyonyaji wa ccm!
Unajua lissu keshapiga M ngapi mpaka Sasa za tone tone?!!! Halafu familia yake ipo wapi vileee?!!!!Huko uwanja wa taifa washapiga 31B ww kwako umeme unakatika mara 10 kwa siku na bado unasifu ujinga
army ipo upande wa ccm naonaKutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi
Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
View attachment 3298029
Mbona alikamatwa mbele ya watu na wakaufyata?Huu ndo uhuni wanataka tena kuleta hapa ndo wanaliamsha! Tundu lisu ni muujiza toka mbinguni huwezi kushindana naye ukashinda!