ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Mmmmh !Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi
Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
View attachment 3298029
Sasa mbona hao Wananchi hawamsaidii wanapiga tuu makelele yasiyo na maana ?Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi
Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
View attachment 3298029
Unahamu kuyashuhudia hayo?Sasa mbona hao Wananchi hawamsaidii wanapiga tuu makelele yasiyo na maana ?
Ndio maana nawaambia kujaza.mikutano hakunaga maana hapa Tanzania Kwa Upinzani
😡Kama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya wafuasi. wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!
😡Sasa mbona hao Wananchi hawamsaidii wanapiga tuu makelele yasiyo na maana ?
Ndio maana nawaambia kujaza.mikutano hakunaga maana hapa Tanzania Kwa Upinzani
😡Nilijua tu litatokea. Na Bado wanakusanya data. Lissu Mdomo wake haujatahiriwa.
Unaweza kuwa na hoja Lakini ukaiwasilisha vibaya kwa utaratibu haramu.
Mna hasara kweli nyie au zinaishia Kwa wake zenu? 😁😁Huu Upumbavu ndo unatia hasira saanaa kwa sisi wapenda Demokrasia, wao kama wanahudumia vizuri wananchi sasa hofu ya nini aise
Lissu amewalaza na viatu.Nilijua tu litatokea. Na Bado wanakusanya data. Lissu Mdomo wake haujatahiriwa.
Unaweza kuwa na hoja Lakini ukaiwasilisha vibaya kwa utaratibu haramu.
Hawa ndiyo wale wale wanaotegemea kubebwa. Jibu hoja za huyo Lissu sio kurukaruka huku mtandaoniLabda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.
😅😅Unafukia moto wa mafuta na pamba
Niyaone wapi na hamjamsaidia Mwenyekiti wenu wa no reform?Unahamu kuyashuhudia hayo?
utayaona na hutaamini
Ila kwa ccm kujaza mikutano kuna maana.Sasa mbona hao Wananchi hawamsaidii wanapiga tuu makelele yasiyo na maana ?
Ndio maana nawaambia kujaza.mikutano hakunaga maana hapa Tanzania Kwa Upinzani
Kwa nyomi za size hii, ni suala la muda tu kabla CCM hawajaitumbukiza nchi kwenye machafuko makubwa kama hawatabadilika na kutenda haki.Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi
Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
View attachment 3298029
Idadi ya hao manjagu watu wakilala nao kiulalo ulao...kitachotokea...tutaheshimiana!Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi
Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
View attachment 3298029
Naona unawashwa leo mumeo kakimbilua kwa nyumba ndogo umekuja kutoa milio hukuLabda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.
Hiyo ndio inayitakiwa sasa. Ww na dalali wa demokrasia hiyo kwenu ni hofu. Na vile mbinu ya G55 imebuma, lazima vyombo vya dola vitumike.Ikawaje sasa kalala uwanjani au wameondoka nae? Hao wananchi aliowahubiria No reform No Election wamemsaidiaje? Chakaza Lord denning Tindo
Ndio maana wanawaleta wanachama wao.Ila kwa ccm kujaza mikutano kuna maana.