Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kakuuza kwa waarabu wa DpKaniuza wapi mvaa ushungi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakuuza kwa waarabu wa DpKaniuza wapi mvaa ushungi?
Ushahidi uko wapi?Kakuuza kwa waarabu wa Dp
Kumbe hata hujui kama umeuzwaUshahidi uko wapi?
Ukiuzwa si lazima udai Risiti? au ukinuniuliwa?Kumbe hata hujui kama umeuzwa
Si ndiyo hapo terms zake za huko UK sawa na na kwetu.Wazungu unawalinganisha na Waafrica?
Hawa watu ni hatari kwa Afrika, wanahonga ili viongozi wasaini mikataba ya kitumwa
Inaumiza sana
Kama walivyoneemeshwa Djibouti?Muacheni Rais Dkt Samia anemeeshe nchi kupitia DP World
Sawa mkuu, ila habari inafunua madhaifu ya dpw. Ndiyo maana wanasema kesi zisikilizwe S.A. Kama Djibouti wameonja machungu ya dpw na wanatamani kujiondoa sisi tutie maji kichwani kusubiri zamu ya kunyolewa.Hiyo stori ni ya siku nyingi na Djibouti ameshashindwa kwenye mahakama ya kimataifa.
Generational Trauma!Inaumiza sana
Toka pepo, tokaUkiuzwa si lazima udai Risiti? au ukinuniuliwa?
Uwepo wa DP World kule Somaliland au Puntland/Bosaso kinyume na maadhimio ya bunge la Somalia ni uharamia. Hutaki unaacha.DP World wapo Somalia, wacha uongo.
Watajijuwa, siku hizi kigezo chetu cha uchumi ni Somalia? Huko hata USA katoka mbio.Uwepo wa DP World kule Somaliland au Puntland/Bosaso kinyume na maadhimio ya bunge la Somalia ni uharamia. Hutaki unaacha.
Yamepita mengi, ila hili halitapita hivi hiviGenerational Trauma!
Kuna wale wenye hisia za kuupinga, tena kwa nguvu zote.
Kuna wale wanaoupinga kwasababu ya madoa yaliyomo kwenye 'sijui niuite nini tena'....Mkataba, MOU, IGA,.
Kuna wale wanaoupinga kwasababu za Uwekezaji tulioufanya Watanzania, Kuna wanaoupinga kwa Sababu ya Uzanzibari na Utanganyika, Kuna wale wanaoupinga kwa sababu ya Historia ya DPW, vilevile Kuna wale wanaoupinga kwasababu kwa sababu wanajua fika kuwa huo mkataba pamoja na Mabilioni ya Dola zinazo zungumziwa kuwekezwa, hazitawafikia kamwe.
Generational Trauma ni athari za kisaikolojia ambazo mateso kinachowapata watu kinawapata vizazi na vizazi vilivyofuata katika Jamii...
Kwa mfano, mateso ya pamoja yaliyoshuhudiwa na waathirika wa mauaji, ukatili, ubakaji, na mateso mengine n.k na baadhi ya makabila ya Watanganyika/Wafrika weusi wakati wa utumwa. Uliofanywa na Waarabu na Wazungu!
Upo uwezekano mkubwa kuwa tuna experience hivi Viwewe sasa hivi.
Inauma kwa kweli.
Unganisha tu dots dp world watu wa Dubai walikuwa wanamsapoti Eritrea wakati 90-95% ya Ethiopia cargo inapita hapo bandarini inayoendeshwa na kampuni ya Dubai na hapo hapo Eritrea na Ethiopia hawako vizuri tegemea tu hayo yatokee.Muhtsari
- Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World
- Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari
- Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba
Serikali ya Djibouti imeamua kuvunja mkataba wa uendeshaji wa bandari ya Doraleh iliyokuwa inasimamiwa na kampuni ya DP World kutoka Falme za Kiarabu. Hatua hii imefuatia uchunguzi uliofanywa na serikali hiyo uliobaini kuwa mkataba huo ulikuwa na masharti yasiyo na tija kwa taifa la Djibouti na ulikuwa umeingiwa kwa njia ya rushwa na aliyekuwa mkuu wa bandari.
Serikali ya Djibouti imesema kuwa imefungua kesi dhidi ya DP World kudai fidia na kurejesha mali zake zilizokuwa chini ya usimamizi wa kampuni hiyo. Serikali pia imesema kuwa itatafuta mshirika mpya wa kuendesha bandari hiyo muhimu kwa uchumi wa nchi hiyo na ukanda mzima.
Pia soma |
Sitoki ng'o!Toka pepo, toka