Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

Wewe ni dereva wa Lori, dereva wa Lori ni mdau? Wewe kazi yako ni kusafirisha mzigo kutoka point A kwenda point B
 
Sio kweli hajashindwa leta ushahid

DP World wins latest judgement in Hong Kong Court over Djibouti concession​


Dubai, UAE,
20
September
2022


DP World has won the latest in a string of court rulings, as it defends its rights as shareholder and concessionaire in Djibouti’s Doraleh Container Terminal.
 
Broda hawa jamaa ukiwasikiliza utaionea huruma uzao wao. Wao wanadhan hawa jamaa wakija Dar port itageuka kimiujiza kufanana na Dubai port
 
Then Nan anarun hiyo Port muda huu
 
Watajijuwa, siku hizi kigezo chetu cha uchumi ni Somalia? Huko hata USA katoka mbio.

Hizo bandari zote za Somalia ni za watu binafsi., sasa hata sijuwi unataka kusema nini?

Tupe mfano wa mabawana zetu Waingereza.

Sikuelewi.
You lack writer's congruence and consistency. Unaandika hiki, unaandika kile, huna mtiririko!
Kwahiyo kama ni za watu binafsi ndiyo DP World wanapata uhalali wa kuwepo ?
 
Hebu tuwekee hapa nasi tujiridhishe.
Huu wa hapa sisi tumeona..Na tumeshaona mapungufu...tumejiridhisha vya kutosha mkataba hauko sawa; Wewe unaosifia hao jamaa kupitia mikataba ya UK - ndio tuwekee huo mkataba unaoisifia wa DPW na UK, tuuone - kisha tufananishe na wa hapa.
 
Somalia ni muungano wa Nchi mbili Somali British Protectorate na Somali Italiana wametengana baada ya vita vya muda mrefu

DPWORLD wamewekeza Somaliland, South Somalia wakakataa nadhani utakuwa umeelewa japo kiduchu.
Na hao wamewakataa kisa ni waarabu au kisa mkataba hauelewek ?
 
Acheni chokochoko mwacheni Mama aifungue nchi.,
 
Hii ni kawaida hata kocha nabi kwenye timu yake kabla yakuja yanga alikua amevunjiwa mkataba wake yanga wakamchukua majibu mnayo wenyewe acheni mihemko
 
Hawa watu ni hatari kwa Afrika, wanahonga ili viongozi wasaini mikataba ya kitumwa
Kam. Hi hbr Ni ya Kweli Basi Hawa jmaa wameonga watu wengi sna kupata hi bandari nduo maan watu wananyanyua midomo sna kuitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…