Wakazi nje ya kuimba ila Ana ufahamu mzuri kichwan s umeona kasimama na kuuliza maswali yenye tija.Steve anachotaka ni kucontrol makundi yote ya sanaa ili awatumie vizuri kujipatia pesa kwa wadau mbali mbali huwezi jua na rambi rambi misibani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani mama ndo mwimbaji au msanii huyu Did q alihongwa la Mana kumchagulisha Steve ni uhuni tuSteve yuko karibu na Mama Rais Samia sasa waliomteua wanawaza karibu mno kwa kigezo hicho wanaamini steve atamfikia Mama kirahisi na mambo yatarahisika lakini ukiangalia pia ajenda yao kuu ni ili kuwacontrol wasanii wote wawe chini ya ccm lakini steve sio mweledi kias hicho hapana
Mmmh!Steve yuko karibu na Mama Rais Samia sasa waliomteua wanawaza karibu mno kwa kigezo hicho wanaamini steve atamfikia Mama kirahisi na mambo yatarahisika lakini ukiangalia pia ajenda yao kuu ni ili kuwacontrol wasanii wote wawe chini ya ccm lakini steve sio mweledi kias hicho hapana
Jamaa kafanana na Wilfred BonyWelcome to conference.......enhe enhe enheeeeee......talk...talk...talk.Huyo ndio Steve mzee wa fursa.
Mwenyewe huyo Bony.Jamaa kafanana na Wilfred Bony
Aibu sn kwa dume zima kusuka shenzi kabisaFid q vema akaendelea kusuka twende kilioni kuliko kufuga Rasta ,hovyo kabisa ameziaibisha
Watu wa hip hop vichwan wako sawaWakazi nje ya kuimba ila Ana ufahamu mzuri kichwan s umeona kasimama na kuuliza maswali yenye tija.
.
Kiufupi vijana wanataka mtu mwenye shule kichwani ili kuweza kutengeneza mipango ya muda mrefu kuliko Steve ambae Ana ushawishi wa kwenda mahala kuwezesha kupatikana pesa kwa matajir
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii attachment haifungukiSakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo.
Hii hapa ni video jinsi ambavyo Bushoke ameonyesha wazi kuna tatizo kubwa la kisiasa katika suala hilo.
View attachment 2159363
Video: Global TV
Watu wa hip hop vichwan wako sawa
Kuliko hawa wanyoa viduku
Ova
Nliona video moja nik mbish anafundisha physics jamaa yko vzr hesabu, na maformulaAlways uwezo wa kufikiri wa mtu wa hip hop uko vizuri zaidi kuliko waimbaji kwani waimbaji wao ni washereheshaji wakati muziki wa kufokafoka unakufanya ujifunze kufikiri kwa kina na hasa upande wa falsafa mbali mbali za maisha
Kwa kifupi Steve ni chawa wa ccmWakazi nje ya kuimba ila Ana ufahamu mzuri kichwan s umeona kasimama na kuuliza maswali yenye tija.
.
Kiufupi vijana wanataka mtu mwenye shule kichwani ili kuweza kutengeneza mipango ya muda mrefu kuliko Steve ambae Ana ushawishi wa kwenda mahala kuwezesha kupatikana pesa kwa matajir
Sent using Jamii Forums mobile app
Nliona video moja nik mbish anafundisha physics jamaa yko vzr hesabu, na maformula
Ova