Duhh kijana we umesoma shule za mitaala ipi? Shule za bongo kabla/baada ya kula Pepa ya Necta Kuna cell form mnapewa ili kujaza unataka kwenda kusoma nini na hapo baadhi ya wajuba ambao hawataki kwenda kujichosha na kufurahisha ukoo kuonekana ulisoma Advance hupita short cut
Kuna form ya wale wanaotaka kwenda Advance, wao hujaza combination wanazotamani kupangiwa na wale ambao hutaka kwenda vyuo vya ufundi/vyuo vya kati hupewa form Yao Kisha unajaza, na kwenye ile form miongoni mwa vyuo vilivyo orodhoshwa MIST ipo, Kuna madogo yapo hapo DIT Yana One Kali Sana ila wanapiga Diploma kiroho safi