Video: Suala la Steve Nyerere na Shirikisho la Muziki vita kubwa ya kisiasa nyuma ya pazia

Steve anachotaka ni kucontrol makundi yote ya sanaa ili awatumie vizuri kujipatia pesa kwa wadau mbali mbali huwezi jua na rambi rambi misibani[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shobo mbele ya Wilfred Bonny,"Welcome to conference.......enhe enhe enheeeeee......talk...talk...talk".Huyo ndio Steve mzee wa fursa,hanaga mshipa wa aibu anapo taka lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shobo mbele ya Wilfred Bonny,"Welcome to conference.......enhe enhe enheeeeee......talk...talk...talk".Huyo ndio Steve mzee wa fursa,hanaga mshipa wa aibu anapo taka lake.

🤣🤣 amenikumbusha marehemu Pombe Magufuli.
 
Yes hua wana knowledge sana mimi hip hop hua ni shule kila mstari unafunzo wewe angalia kwa wasanii kiasi wenye msimamo ni wao hata mapinduzi na amsha amsha kwenye struggle zote walifanya wana hip hop

Hebu tupe mifano ya hayo mapinduzi na wasanii, mkuu.
 
Acha uongo, huyo mbishi ni mjinga mmoja
Hakuna swali lolote la maana aliloulizwa na jonijo.
Eti ana akili nyingi darasani, mbona form four alifeli
Kuna jamaa alipiga form four 1.9 ila form six alipiga four ya mwisho
 
Yo

Youngman acha lugha ya matusi bishaneni kwa hoja na mkiona hamkubaliani just kaa kimya maana unabishana na kutukana mtu usiyemjua mwenye ID fake [emoji1745]
Huyo dogo ni kenge tu amekariri elimu ni advance

Sorry dingi kama nimekukwaza
 
Steve anachotaka ni kucontrol makundi yote ya sanaa ili awatumie vizuri kujipatia pesa kwa wadau mbali mbali huwezi jua na rambi rambi misibani😂😂😂
Ina maana Steve ni 'mjasiria-sanaa'...?😂😂
 
kwa kauli hii alioitoa Bushoke ameonyesha Ni conscious kuliko Fid.
Fid alishakua corrupt, anataka apeleke Mambo kisiasa.
Fid ameona Steve yupo karibu na wakubwa kwenye system hivyo ni rahisi kupata michongo (kupitia Steve) kutoka kwa wenye nchi.
 
Sakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo.

Hii hapa ni video jinsi ambavyo Bushoke ameonyesha wazi kuna tatizo kubwa la kisiasa katika suala hilo.

View attachment 2159363

Video: Global TV
Njaa

Badala ya kukuza industry yao wanawaza kuteuliwa kuwa MADAS na MADC

Pumbavu
 
Hivi kumbe Bushoke yupo! duh kitambo sana.

Hawa wasaka fursa wa CCM ndio wameona ni muda wa kuibukia tena kwenye hili sakata.
 
Akili huna? Unafaulu form four alafu unapangiwa Must? Ukifaulu vizuri form four unapangiwa kwenda advance, acha ujinga
Duhh kijana we umesoma shule za mitaala ipi? Shule za bongo kabla/baada ya kula Pepa ya Necta Kuna cell form mnapewa ili kujaza unataka kwenda kusoma nini na hapo baadhi ya wajuba ambao hawataki kwenda kujichosha na kufurahisha ukoo kuonekana ulisoma Advance hupita short cut

Kuna form ya wale wanaotaka kwenda Advance, wao hujaza combination wanazotamani kupangiwa na wale ambao hutaka kwenda vyuo vya ufundi/vyuo vya kati hupewa form Yao Kisha unajaza, na kwenye ile form miongoni mwa vyuo vilivyo orodhoshwa MIST ipo, Kuna madogo yapo hapo DIT Yana One Kali Sana ila wanapiga Diploma kiroho safi
 
Huyu dogo ni kenge sana ameniboa mno nasubiri arudi hapa aendeleze upumbavu wake hapa nimgonge hata makofi

Jf nowadays inaboa ina wajinga wajinga wengi sana
 
Achana nae tu Mkuu, Kuna baadhi ya Familia na Hawa madogo hudhania kwenda Advance ndio kutoboa au ndio kuprove kuwa wewe uko vizuri kichwani kumbe ni options tu za mtu

Saizi madogo wengi sana ndo wameshtuka na kupunguza ushamba wa kushoboka na msoto wa Advance, kumbe mabroo zao kitambo tu walishagashtuka kuwa advance it's a long cut ambayo Haina guarantee
 
Puuua!! Puwaaaa!! Puaa ,pooor! Pua kabisa[emoji15][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Achana nae tu Mkuu, Kuna baadhi ya Familia na Hawa madogo hudhania kwenda Advance ndio kutoboa au ndio kuprove kuwa wewe uko vizuri kichwani kumbe ni options tu za mtu

Saizi madogo wengi sana ndo wameshtuka na kupunguza ushamba wa kushoboka na msoto wa Advance, kumbe mabroo zao kitambo tu walishagashtuka kuwa advance it's a long cut ambayo Haina guarantee
Exactly
 
Akili huna? Unafaulu form four alafu unapangiwa Must? Ukifaulu vizuri form four unapangiwa kwenda advance, acha ujinga
Usiwe unakariri acha undezi

Dingi angu alisoma moshi tech enzi ana akatoka one kali sana maana aikuwa na yuko moto sana hakutaka mambo ya advance coz mipango yake ni kuwa engineer akachaguliwa dar tech leo inaitwa DIT akapiga FTC civil engineering. equivalent to ordnary diploma leo hii.

Akapiga kazi.then akaenda uclas under udsm enzi hizo akapiga bachelor ya architecture.

So usikariri mambo mzee
 
alitoka 4 akachaguliwa chuo au aliomba ?
 
Back
Top Bottom