Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

Wanajiaibisha na zaidi wanawadharau sana bodi ya ligi na tff..na Hilo liko wazi hata kupitia msemaji wao hua ana Kauli chafu ...hata kwa kilichotokea Jana sijashangaa mana ndio kazi ya timu yenye wahuni.
 
Hatutaki mechi ichezwe tena siyo tu kuahirishwa. Ni muda wa kutokomeza uhuni katika ligi yetu. Kidogo kidogo ngoja tupimane makali.
Sasa isipochezwa unamkomoa nani? Au makali unamwonyesha nani? Wahuni ni wale waliokimbia mechi na wale walioahirisha mechi kienyeji,,akuna kanuni yoyote inayotamka ukizuiwa kufanya mazoezi ugomee mechi!
 
Nani kawaruhusu waingie. Tykisema kuna mambo yapo kuholela kwenye mpira wetu wahusika wanakataa
Jibu ni rahisi tu, uongozi wa uwanja nao ni kama.wanatumika pia na yanga,, kiongozi anayejitambua kwa jins teknolojia ilivyo kubwa nina uhakika walikwishakupewa taarifa kua hakuna mechi hivyo waliopo ndani watolewe na geti lifungwe na asiingie mwingine yoyote..ajabu sababu wanatumika, wametoa watu, halafu eti wamewaruhusu yanga kuingia..ujinga ulioje.
 
Professional wapi wakati barua hawajapata? Yanga ni taasisi na inaofisi, haifanyi kazi kupitia Instagram. Hiyo ndiyo Professionalism hizo Instagram labda kama ni ofisi ya Mwijaku na Baba levo.
Dogo umeng'ang'ania barua barua, wewe uko huko madongo kuinama una namba ya hersi kudhibitisha kua hawajapokea barua kupitia yeye ..
 
Mechi ichezwe wakati timu haijafanya mazoezi siku mbili. Unadhani hilo litamfaidisha nani kati ya hizo timu mbili?

Unadhani saikolojia ya wachezaji wa Simba ingekuwaje kuingia mechi ya leo baada ya kukalishwa pale getini kwa zaidi ya masaa mawili huku wakirushiwa maneno, vitisho na kebehi na wale wahuni wenu? Wakati huo huo wapinzani wao wako huko Kimbiji wamelala unono?
 
Dogo umeng'ang'ania barua barua, wewe uko huko madongo kuinama una namba ya hersi kudhibitisha kua hawajapokea barua kupitia yeye ..
Wewe kiazi kwa hiyo siasa umeachana nazo au na ww MPUMBAVU kama unavyo waita wanaopenda mpira? Ofisi gani leo ipo wazi tena mda huu.....? Mbona akili ya kawaida hii haitaji hata uwe O-Level...

Halafu kumbe unamjua mpaka hersi, acha Unafiki. Halafu kumbe ni KOLO FC.
 
Ujinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Kama na utu uzima huo unaamini mambo ya kishirikina you are a wastless sperm.
 
Hatutaki mechi ichezwe tena siyo tu kuahirishwa. Ni muda wa kutokomeza uhuni katika ligi yetu. Kidogo kidogo ngoja tupimane makali.
Sawa kabisa. Juzi juzi CAF waliifuta mechi kati ya Libya na Nigeria, na kuipa Nigeria ushindi wa goli 3 na points 3 baada ya Libya kufanya maujinga kama hàya ya Yanga.
 
Sasa isipochezwa unamkomoa nani? Au makali unamwonyesha nani? Wahuni ni wale waliokimbia mechi na wale walioahirisha mechi kienyeji,,akuna kanuni yoyote inayotamka ukizuiwa kufanya mazoezi ugomee mechi!
Kwa hiyo unaamka na bangi zako unaenda kuzuia mazoezi ya timu pinzani tena kwa fujo, unajiandaa kulipa vimilioni kadhaa huku umeshamdhoofisha mpinzani wako kimwili na kisaikolojia halafu fresh tu, si ndio?
 
Kila siku Kabla ya kulala nyosha mikono juu sema nchi ya kipumbavu sana hii mara tatu.
 
Sawa kabisa. Juzi juzi CAF waliifuta mechi kati ya Libya na Nigeria, na kuipa Nigeria ushindi wa goli 3 na points 3 baada ya Libya kufanya maujinga kama hàya ya Yanga.
Yaani wanamvuruga mpinzani wao kimwili na kisaikolojia kwa kumnyima haki zake za msingi wakijua hiyo itawapa wao faida uwanjani siku ya mechi halafu wanataka watu wawafumbie macho. Wameingia cha kike....kuna kitu watajifunza safari hii hawatasahau.
 
Kwani huko CAF hawa yajui haya,mbona wanacheza then maamuzi hufanyika baadae baada ya kupata ripoti na timu zina safiri maelfu ya miles ila hazisusii na zinacheza mechi. Inamaa kule hamna CAF wachezaji issue ya kisaikolojia haiwahusu.

Sasa jana si umezuiliwa na mwenye funguo za uwanja wa taifa ambaye hukumpa taarifa, kwani umezuiliwa na Yanga?

Yanga tuliomba kutumia uwanja siku moja kabla ya mechi round ya kwanza tukanyimwa hiyo nafasi,hatukususa tukacheza na tukakugonga kwa mara ya nne,kwani tuna jua hata huko CAF hizi issues zipo ila baada ya mechi tulitegemea TFF watoe adhabu kwa walio tuzia ila hawakutoa adhabu likaisha juujuu.
 
Yanga ilikula nyoya kwasababu wenye makosa ilikuwa bodi ya ligi, taarifa ya kubadili muda wa mchezo ilipaswa .iwe ndani ya saa 24 ndiyo maana hawakula rungu, ila hili la leo lipo wazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…