Wangapi wamesamehewa na kesi zao zilikuwa zinaendelea mahakamani ? Waliandika barua na pesa wakarudisha. Eric pia aliandika barua.Kwani anashitakiwa kwa kutakatisha fedha ama kuandika makala dhidi ya Magu? Halafu Magu ana mamlaka ya kusamehe watu ambao kesi zao bado zinaendelea mahakamani?
Kama wameshachunguza na kujua kosa lake ni kwa nini kila siku wanasema kwamba uchunguzi haujakamilika? Lakini pia kutokulipa kodi siyo kutakatisha pesa kosa analoshitakiwa nalo.yaliwafanya wazee wa kazi wamchunguze na kukuta kumbe analipwa mamilioni ya dola na hayalipii kodi.
alipanda miwa anavuna mkongoraaKwani Kabendera alipanda nini na anavuna nini?
Ndo hivyo na utaendelea kutokamilika. Aliandika barua na kukiri kosa. Ila hakuna feedback. Basi kama una akili ya kung'amua mambo utagundua.Kama wameshachunguza na kujua kosa lake ni kwa nini kila siku wanasema kwamba uchunguzi haujakamilika?
Kwa ivo anachotendewa ni haki??Ndo hivyo na utaendelea kutokamilika. Aliandika barua na kukiri kosa. Ila hakuna feedback. Basi kama una akili ya kung'amua mambo utagundua.
Kwani Kabendera alipanda nini na anavuna nini?
It won't help.Kwa ivo anachotendewa ni haki??
kuna uzi uliletwa humu kwamba ndugu pasco ndiye aliye mchongea Erick, kuna vijana wameushikilia ule uzi kama marejeo yao bila hata kujishughulisha kuutafuta ukweli
Uzuri n kwamba imefikia mahali hamuwezi kujificha tena, mmeamua kuweka wazi kwamba mateso anayoyapitia/wanayoyapitia wengi ni maagizo ya magufuliHuyu jamaa tukiacha unafiki alimtukana sana Magufuli, mbaya alikuwa anatumia gazeti na maadui zetu wazungu... Tena aombe sana Mungu bado yupo hai, anajua Jamal Khashogy alicho fanyiwa baada ya kuichafua nchi yake na kukimbilia Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka kwenye hekalu Mbweni mpaka kwenye Cell Segerea.Na Magu alimpania hatoki humo. Kila Magu akitaka kumsamehe anakumbuka "John Magufuli is bulldozing the opposition and wrecking the economy "
The dinosaur of Dodoma.
Hakuna tusi ina kuna freedom of speech ndani ya nchi ambayo viongozi wake hawavumilii kuambiwa ukweli in a negative way (according to wao)Ndo maana hata Eric alificha jina lake.Hivi hapo kuna tusi?
Kwa ivo kama taifa hatuwezi tena kujibishana kwa hoja mpaka maandamano? Jee Kabendera anatendewa haki?Allen Kilewella sasa nenda pasa sauti hata pale nje ya kisutu. Andamana.
Ulishawahi kukaa lock up hata siku moja tu?Woga wake tu, mbona watu kibao wanaenda gerezani na wako poa tu. Hata kalasinga Seth saa huu kashazoea itakuwa huyo Kabendera? Hapo sana sana anamfurahisha aliyeagiza awekwe ndani. Yeye ni mwanaume asiwe slack.
Wakati Mwingine ukisoma kinachoandikwa humu JF unapata mashaka kama wote tuliomo humu tuna akili timamu na tunaishi Tanzania.Alipanda umbea na chuki kwenye gazeti la nje kwa kificho akapata pesa akala na nduguze na familia yake, .
Hujafa hujaumbikaHakuna anayeeteseka wala aliyeonewa KILA MTU A VUNE ALICHOPANDA, sasa kufuga hiyo mindevu na miwani mikubwa kama comedian ndo tumuonee huruma potelea mbali
Kwahiyo?