Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

Hakuna al iyechukua pesa za escrow kwa kificho, pesa zote ni halali na waliochukua walilipwa pesa halali
Mpaka leo hatujui ni akina nani waliobeba kwenye mifuko,ila tunajua Tibaijuka tulijua maana alitumia bank.Hao waliochukua kwenye mifuko hakuna traces zao mpaka leo,ila wao wanajijua.Pia Eric alitakiwa kusiwe na trace yeyote inayoonyesha analipwa mamiolioni na the Economist.Kamwe hii kesi ya uhujumu uchumi isingemkuta.
 
Alikatwakatwa vipande huko ubalozi wa Saudi Arabia, Istanbul Turkey akawekwa kwenye brief cases na kuodoshwa kuelekea Riyadh Saudi Arabia. Kama nilivyo ona kwa runinga ya CNN. Mchumba wake alibaki nje ya consulate akisubiri masikini ya mungu ! That was the most cruel operation I have ever heard in my entire life 😱 !
 
Kama wameshachunguza na kujua kosa lake ni kwa nini kila siku wanasema kwamba uchunguzi haujakamilika? Lakini pia kutokulipa kodi siyo kutakatisha pesa kosa analoshitakiwa nalo.
Usipolipa kodi serikali pesa hiyo unaipeleka wapi ? Huko uipelekapo kama kuwekeza au kufanyia jambo lolote ndio kutakatisha fedha. Maana fedha haramu inakua halali kupitia uchochoro ulioipitishia. That is money laundering!
 
Too Sad ila ndo hivyo,kuwasema wenye nguvu kuliko wewe na unawasema vitu ambavyo wapo wrong,hata kama upo right.Jiandae kwa lolote.
 
Una uhakika na hilo?? Mbona mwanzo walisema wanachunguza uraia wake? Walipogonga mwamba ndipo wakaja na plan B". Watz sio wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika na hilo?? Mbona mwanzo walisema wanachunguza uraia wake? Walipogonga mwamba ndipo wakaja na plan B". Watz sio wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ujue ,ukiwa unaandika negatives za Magufuli ,hakikisha wewe msafi.Walimkamata na wakamtafutia makosa,bahati mbaya wakamkuta na hilo.Believe me wasingemkuta na kosa wala wasingempeleka mahakamani.
 

Huyo jamaa (P) ni zaidi ya umjuavyo jf hapa!
Labda kwa sababu umemjulia humu na kumsoma humu, lakini haiba yake ya nje huijui vyema!
... unajua ni kipi kilimfanya alete zile makala hapa?!
Je kwa nini baada ya Kabe, kuwekwa ndani aliacha kuleta chochote kuhusu zile makala au hata aseme zimeacha kuandikwa au lolote kuhusu mwenendo wa lile gazeti...!?
Hao wengine walioleta hizo makala hapa ni wamoja tu na P, maana unapaswa utambue hazikutafsiriwa na mtu mmoja kama yeye alivyojinadi!
Niishie hapa...
 

Paschal ndo alimwambia aandike hizo makala?
Yani kwa uwezo wako kwamba kama asingeleta hizo makala JF watu wasingesoma hiyo economics na ...
 
Wazungu ni "maadui zenu."

Hujui kutofautisha 'nchi' na 'mtu'. Kiufupi wewe ujinga unakubabili. Jibidishe kuuondoa ujinga.

Ulivyoandika hapa inaonyesha huna uelewa (not informed).
Hujui waliomfanya Khashogy wanafanya nini kwa sasa!
 
Kwaiyo anavuna alichopanda?

Ila kule sio sehemu mzuri maana atakuwa anafikiria mengi anayoyamiss uraiani na kujutia pia.

Ni kweli sio kuzuri, ila kwa mwanaume ni jambo la kawaida sana katika maisha. Ndio maana nasema huyo Kabendera kaacha maisha sana kuliko aliyokuwa nayo Kalisinga Seth, au Hery Kitilya aliyekuwa boss wa TRA?
 
Kusudi la mada hii kama ilivyowasirishwa ni kutia watu woga. Yanayompata Kabendera "liwe fundisho kwa wengine."

Ndiyo maana ya mada hii. Ndio lengo la mada.

Kwa kutazama hiyo picha iliyowekwa hapo, sijui mleta mada amesoma vipi mwonekano wa Kabendera hadi akaona "anatia huruma!"
"Anatia huruma" kwa vile anaonewa kwa kubambikiwa kesi?
 
Ukivuna pesa ya beberu ujue kuna siku fimbo ya mnyonge itakushukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…