Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Tunzo muhimu sana , hongera zake.
P
Wewe sio mzalendo, Unachambua siasa vizuri

Wewe sio mzalendo unaelimisha watu haki zao

Wewe sio mzalendo unareport habari za mamlaka bila aibu

Wewe sio mzalendo ulisomea uandishi wa habari badala ya kusomea jinsi ya kupiga mapambio na kusifu

Kuwa mzalendo utakuwa mbunge siku sio nyingi
 
Apokee tuzo sana. Mpaka za kutetea mambo yanayofanyika chumbani. Mtapata tabu sana. Poakea na mwenzio mumpe tuzo ya kuhama Arusha.
 
Kwahiyo hiyo tuzo ndio wameamua kumpoza na kiki hiyo? πŸ˜‚πŸ˜‚ daah amakweli baada ya Mungu - Mzungu!!!!
 
Hapo ulipo una TIN number? Au unabwabwaja tu humu.

πŸ‘‰Degree kitu gani, wakati kila siku unalia humu kuwa maisha magumu?
 
CCM hatuna 'Wendawazimu' na 'Mashoga' kama Wewe tafadhali. Ukiona hadi GENTAMYCINE naipenda CCM jua hata Mwenyezi Mungu anakipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…