Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Mwambieni atazoa 'Tuzo' sana tu za hao 'Mabeberu' wake wanaomtuma ila Tanzania 'Rais' ni Dk. Magufuli na Chama Tawala ni cha 'CCM' tu pekee.

Haya ni maneno ya waliokosa akili.

Ukisikia tu mtu anasema kuwa mtu fulani anatumiwa na mabeberu, utambue kuwa mtu huyo hana akili. Ukitaka kuthibitisha, mwulize ni kwa namna gani mtu hutumiwa na mabeberu, haweza kukupa jibu lolote la maana.

Neno hili kwa sasa limekuwa likitamkwa zaidi na wapenzi na mashabiki wa CCM ambao utafiti wa TWAWEZA ulithibitisha kuwa ni watu wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ni TUZO au TUNZO?!

Hapo naomba tusaidiane ni ipi sahihi kwa faida ya lugha yetu na matumizi sahihi kwa baadaye.
P
 
P
Hahaha kwa hiyo ulikosea tu?!
Anyway umeeleweka, unajua mkubwa ukikosea watoto huwa wanadhani uko sawa tu, ndio maana nikaona niulize kwa niaba yao.
 
View attachment 1646533
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu...

Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo...

Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri...
View attachment 1646534
Dikteta ataaibika tu ni suala la muda tu.
 
Amekuwa mtu wa ngapi Kati ya waliowahi kuipata tuzo hiyo?
 
hako ka NGO kalikompa tuzo ni ka uchochoroni tu Africa wanachama ni CHadema,chama tawala cha GHANA na Nambia kachama ka upinzani

Kifupi ni wanachama wanampa mwanachama mwenzao tuzo ni kama Chadema imkabidhi Lisu tuzo!!!!!

ANyway apaate tuzo zote atakazo kama zinamsaidia ku steam out frustration zake za kukosa uraisi it is ok

Atapata tuzo zoteeeee ila uraisi Tanzania hapati
 
Wazungu bana, si wangempa Ubunge wa EU kabisa..😅 au mke mdogo wa kizungu ili awe ndugu yao kabisa. Tokea lini mzungu ampende mwafrika, mmesoma wapi, historia ipi, nyie waafrika wenzangu hv kwanini mna brain yenye volatile memory kwa kiwango kikubwa hivi. Mtajua wenyewe huko.
 
Kuna muda yakupasa utumie akili zako binafsi

Ngonjera, Mipasho na taarabu nenda jukwaa la Mapenzi

Jadili kuhusu hiyo tuzo

Kama hufahamu ni kitu gani na kwanini inatolewa na ilianza lini kaa kimya

Wewe ni jitu zima, Fikiri kwa kutumia akili na ubongo sio kwa kutumia mashavu
Usiwalazimishe wananchi wapenda nchi yao wampende mvuruga nchi. Kama wewe unampenda huyo kibalaka wenu endelea kumpenda.
 
View attachment 1646533
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu...

Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo...

Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri...
View attachment 1646534

Lissu kama Mandela. Hii ngoma bado mbichi!

Cc: Senzighe wa Senzighe
 
Back
Top Bottom