Hivi huyu ndugu hafai kuwa Rais wa JMT just because he's from Opposition Party - CHADEMA, hana uwezo wala sifa za kuwa Rais na mkuu wa nchi au tatizo lake ni nini hasa?
Na kama tatizo ni kwa sababu yuko chama cha upinzani, I suggest ajiunge haraka sana CCM na John Pombe Magufuli immediately ampishe jamaa kwenye kiti chake maana huyu ndiye mshindi wa kiti cha Uraia ktk sanduku la kura kwenye uchaguzi uliopita...!!
Jamani eeeh, we don't care anatoka chama gani. Sisi tunamhitaji mtu na mtu wa kufaa kuwa Rais wa nchi hii ni huyu haijalishi ni mCCM au mCHADEMA or whatsoever....
Hundiye Mr President Tundu Antipas Mughway Lissu aliyechaguliwa na watu whether some people like to hear it or they don't...!!