Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

We jamaa mbona unajiona mjuaji Sanaa. Since tunakuona kilaza tu na ushamba mwingiii.
Walaumu 'waliokuzaa' kwanini 'walikuzaa' na 'Upumbavu' ulionao na sasa 'unatuchukia' ambao Mwenyezi Mungu 'alitubariki' na 'Akili' Kubwa sana.
 
H
Hii brain ya huyu jamaa ni tabu ingine....Lissu is one of the smartest Tanzanians
 
Hahaha mbona juzi nilisikia wafaransa wamempongeza Magufuli na mliweka picha ya balozi na kabudi akipokea kwa niaba yake na hatukupinga?!

Hahaha punguzeni moshi huko mliko muone vizuri, huyu naye kapongezwa tu.
Hayati Nelson Mandela pamoja na 'Mateso' yote kutoka kwa 'Makaburu' alipambana nao kwa 85% akiwa pale pale na 'hakuwakimbia' Watu Weusi.
 
HAHAHA vipi huyo jamaa kwenye avatar yako ndiye beberu wako?!
Anafanana nami 'Kitabia' kuanzia Ubabe, Kujiamini, Unyumbulifu, Uwerevu na ni Mtu mwenye Jicho la Ndege Tai na Mwana Propaganda Mzuri mno.
 
Najua Sindano yangu tayari imewashawaingia vyema na tena Kunako kabisa wana CHADEMA wote ndiyo maana sasa mnaweweseka tu nami hapa.
 
Sasa umefaidika nini na CCM kutawala na Magufuli kuwepo?
Imeweza kuendelea 'Kutawala' na itaendelea 'Kuitawala' Tanzania kwa miaka '10,000' ijayo na uwepo wa Rais Dk. Magufuli una Faida Kimaendeleo.
 
Sikujua kuwa nawe ni mjinga kiasi cha kuandika kwa namna hii kama layman.
Hata Mimi sikujua kuwa nawe ni 'Mpumbavu' kiasi hiki hadi umeshindwa kujua kuwa GENTAMYCINE ni 'Brainiac' wa uhakika Afrika na hadi Duniani.
 
Unatakiwa ujidharau wewe kwanza,kwani umeuliza swali la kipumbavu sana.
Kwanza jiulize wewe unafaida gaani kwa watanzania?

Utaka kutuambia wewe una akili nyingi kuwazidi walioanzisha hiyo Tunzo na kuamua kumpa tundulilisu?
Kwa Tanzania yenu tu kuwa na Mtu mwenye 'IQ' kama yangu yenye Mchanganyiko wa Kitutsi, Kizanaki Kimakuwa na ya Kiyao ni Faida Kubwa mno.
 
Kucheza na akili za watu wa chadema ni rahisi sana,

Mtu yupo pekee yake chumbani, anahutubia viti, halafu nyie mnahadaika!

Au ndiyo anahutubia bunge la Ulaya kama mnavyodanganywa kila siku!
 
Tuzo muhimu sana , hongera zake.
P
Mimi nimesema mara nyingi ingekuwa si Njaa isiyokwisha, Pascal Mayalla angeita beleshi beleshi kama leo siyo Kijiko kikubwa kama wanaCCM wenzie. MaCCM humu JF yanaloloma kuwa Tundu Lissu anachafua nchi kumbe ni viongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano ndo wanafanya hivyo ndo maana hawasafiri nje kwa kuogopa kuzomewa na lughà mayolo. Hongera sana Pascal ila ingependeza zaidi ungehama hilo Chama!
 
Kundi la Wakata viuno
 
Au nawewe ni kundi la Wakata viuno, Tundu Antipas Lissu amemtetea nani au ni kukurupuka tuuu. Huu ni Mchezo wa kikundi cha Mashg wameiandaa fake party
 
Imeweza kuendelea 'Kutawala' na itaendelea 'Kuitawala' Tanzania kwa miaka '10,000' ijayo na uwepo wa Rais Dk. Magufuli una Faida Kimaendeleo.
Hata kidonda kibichi hadi kilichooza kuna wanao kipenda. Una haki ya kukipenda chama chako na mpumbavu wako yo yote.
 
Wazungu ni wajanja sana katika kuwatumia watu wapuuzi kama Lissu na Lema.
Siyo tuzo tu,watampa vingi baadaye wakikamilisha au kushindwa mipango yao basi watamtosa
Ni wachache sana watakuelewa...wengi humu wako kishabiki na ki-chama.
 
Au nawewe ni kundi la Wakata viuno, Tundu Antipas Lissu amemtetea nani au ni kukurupuka tuuu. Huu ni Mchezo wa kikundi cha Mashg wameiandaa fake party
Una umri gani kwani??? Ulikuwa unanyonya nini wakati anawatetea watu wa Nyamongo dhidi ya unyanyasaji wa serikali ya Mkapa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…