Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

It seems to me that you are empty-headed. It's better shutting up when you do not have anything sensible or worth reading/listening
I have never ever been 'threatened' by a 'CERTIFIED MORON' of your type. I actually urge you right now to just keep your 'Pig Mouth' shut okay?
 
Hii kitu itawamiza mno wana CCM, Dunia inajua kwamba uchaguzi wetu ulikuwa fambastic. Hongera Lissu na CDM - mapambano bado yanaendelea... sauti za wanyonge ni lazima zisikike duniani kote... Tanzania si ya mtu mmoja ni yetu sote.
 
Freedom, Democracy, Human rights and Rule of Law - HONGERA CHADEMA na Lissu kuyapigania haya - Dunia imeutambua mchango wetu na ipo sambamba na ninyi katika mapambano haya bega kwa bega.
 
Amani iwe nanyi .

Rais Magufuli ambaye Tanzania na dunia kwa ujumla imemjua na kumwogopa kama rais mwenye kasi zaidi ametoboa siri ya mafanikio yake.

Rais Magufuli amesema katika safari yake ya mafanikio kisiasa tangu kuanza mpaka leo ,wote waliojaribu kumkwamisha walikwama wao! Hali hiyo ilidhihiri kwenye wizara zote alizopita na hadi Sasa ni rais wa Tanzania.

Akiwa rais wa awamu ya tano wafuatao walijaribu kumkwamisha wakaishia kukwama wao kwa aibu kubwa.

1. Mange Kimambi.
Huyu alishambulia sana mwanzo wa utawala wa rais Magufuli . Alitoa matusi ya kila aina na mwishoni akaitisha maandamano nchi nzima aliyopanga yafanyike siku ya muungano, yaani April 26!
Matokeo yake aliishia kuandamana mwenyewe akielekea kwenye ubalozi huko Marekani, huku watanzania wakimpuuza na kuendelea kuchapa kazi.
Tangu siku hiyo Mange Kimambi akafutika na akamwacha rais Magufuli akiendelea kupeta kwa kuwaletea maendeleo watanzania

2. Tundu Lisu
Huyu nae amefutika tarehe 28/10/2020 baada ya kujaribu kwa miaka 3 mfululizo kukamisha juhudi za rais Magufuli.
Amezunguka duniani kote akimtukana rais Magufuli na Tanzania kwa ujumla lakini katikati ya matusi yake bank ya dunia ikatangaza Tanzania imeingia uchumi wa kati !!

3. Godbless Lema .
Huyu alikuwa mbunge wa Arusha akalipwa na mabeberu kumchafua rais Magufuli hadi akafikia hatua ya kuitangazia dunia kwamba ana ndoto ameoteshwa kuhusu rais Magufuli!!

Godbless Lema amefutika tarehe 10/12/2020 baada ya kutangazwa kuwa mkimbizi wa Canada!!
Lema licha ya kuwa mbunge kwa miaka kumi lakini sasa anaenda kuishi kambini kama wale wakimbizi wa Burundi wanavyoishi kule Kigoma!

4. Freeman Mbowe.
Huyu amefutika kwa aibu kubwa. Chadema ilikuwa na wabunge zaidi ya 100 bungeni ,leo hii ina mbunge mmoja tu!

5. Bernard Membe
Alijiaminisha ni kachero mbobezi mzee wa kazi na bata na akaahidi atamkwamisha na kumgaragaza vibaya rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa October 28 mwaka huu, matokeo yake amegaragzwa yeye kwa kukataliwa na hata watu wa Lindi na hatainuka tena!
 
Kuna watu wana wivu uliopitiliza au saa zingine ujinga tu. Hiyo tuzo angepewa Magufuli na hao hao wanaita mabeberu pasingekalika humu. Mwaka jana mabeberu wametu-upgrade kuwa uchumi wa kati kiwango kile cha chini kabisa. Tambo zilikuwaje! Vigezo wamepanga hao hao mabeberu tunashangilia ka mazuzu. Ujinga wa namna hiyo unatisha. Lissu ni Mtanzania kupata hiyo award ni credit si kwake bali hata kwa nchi. Watu wanazoza kutukana ili hali wao hata tuzo za darasani tu walikosoma hawakuwahi kupata. Tuache mambo ya aibu.
 
Hayati Nelson Mandela pamoja na 'Mateso' yote kutoka kwa 'Makaburu' alipambana nao kwa 85% akiwa pale pale na 'hakuwakimbia' Watu Weusi.
Mandela alikuwa anapambana na Makaburu wazungu hata alipokuwa Rais Makamu wake alikuwa Kaburu, ole wake anayepambana na Kiongozi Mwafrika mweusi muuaji,mtesaji, mtekaji, mnyanyasaji akae naye mbali la sivyo ataliwa nyama kama Watutsi na Wahutu. Mh. Lissu na Lema wameonja joto la jiwe!
 
Baada ya kumtumia mabeberu yameamua kumpoza mwenzao.. To hell Lissu msaliti
Bila wewe kumpiga risasi angefikaje Belgium? Mkienda kuomba omba misaada ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu uonevu unyanyasaji uovu mateso manyanyaso yenu kwa wapinzani mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Unaposema 'Wajinga' unamaanisha wanaopokea misaada kutoka kwao?
CCM ndiyo chama omba omba misaada kwa wazungu kuliko vyama vyote Duniani lakini cha ajabu ndiyo chama kisicho na shukrani na chama chenye Gubu hakuna mfano Duniani
 
Ni vyema kuwa umetumia haki yako ya kikatiba kutoa maoni yako...

Lakini honestly, sijaelewa umeandika nini...

Sijaona counter argument yoyote zaidi ya kusoma maneno yasiyo na mpangilio wala maana ya kimantiki...

Hebu rudia tena kusoma ulichokikwoti na kisha njoo tena kujibu kama utapenda...

Haitasaidia hata nikiandika mara 100. Kuna wanaoelewa, wale wanaojitambua lakini.
 
CCM hatuna 'Wendawazimu' na 'Mashoga' kama Wewe tafadhali. Ukiona hadi GENTAMYCINE naipenda CCM jua hata Mwenyezi Mungu anakipenda.
Ushoga upo CCM hata makonda Bashite alipiga kelele juu ya ushoga ni wabunge hao hao wa CCM walimpinga Bungeni wakiongozwa na kange lugola aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani, hakuna mwenyezi mungu mpumbavu hivyo aje kuwa na wewe shetani, wewe ulipo ndipo shetani alipo huna mfano wa kuigwa hata na mbwa koko
 
Hizi ndio degree za St Augustine na Mzumbe

Yule mwezako wa vyuo vya kata ameshindwa kusoma kiapo lakini tungesema asifie angeimba na kujigaraza chini

Ahaaa dunia ina mambo mengi sana

Huwezi kufikiri nje ya aliyokudanganya mwalimu wako

Unachojua wewe ni kupiga taarabu na mapambio

Mimi ni mwana ccm lakini sikubaliani na watu mnaojitoa ufahamu

Hamuwezi kujenga hoja kazi ni kusifu na kusifia huku hamjui mtakula kitu gani kesho
Wanangoja teuzi bado zipo sana.
 
Back
Top Bottom