Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

hako ka NGO kalikompa tuzo ni ka uchochoroni tu Africa wanachama ni CHadema,chama tawala cha GHANA na Nambia kachama ka upinzani

Kifupi ni wanachama wanampa mwanachama mwenzao tuzo ni kama Chadema imkabidhi Lisu tuzo!!!!!

ANyway apaate tuzo zote atakazo kama zinamsaidia ku steam out frustration zake za kukosa uraisi it is ok

Atapata tuzo zoteeeee ila uraisi Tanzania hapati
Bado unavuta Bangi gheto unaposhinda ukivuta Bangi? Maneno ya mkosaji yakichanganyika na Bangi huwa hivyo kwa Akili zako finyu unazani utapata uteuzi kwa kuandika huo ufala?
 
View attachment 1646533
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu...

Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo...

Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri...
View attachment 1646534
"Jiwe waliolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni". Mtume Issa au Yesu Kristo.
 
Iko siku Mungu atajibu maombi yetu nakutupatia hitaji la mioyo yetu
Moshi wa Ruangwa haupo mbali akina January akina Nape akina Rizone wana hasira za kukosa uwaziri bado
 
Eti Lissu anafaa kuwa rais? Tena rais wa nchi? Labda nchi ya kusadikika sio nchi iliyoko dunia hii iliyoumbwa na Mungu. Halafu eti kuna wananchi walimchagua. Mambo ya ulimwengu wa kusadikika hayo. Hao wananchi wangemchagua Lissu kwa lipi??? Kwa nza kwa wanaompenda Lissu wamshauri apunguze gharama zake kwa kumleta dereva wake wakati wa shambulizi ahojiwe na polisi ili ukweli juu ya lile shambulio ufahamike. Kwa wasiojitoa ufahamu bado wanahoji kwa nini gharama kubwa zitumike kumficha dereva. Ila kwa ambao wamejivua ufahamu wanasema sio issue kumweka dereva ughaibuni kwa gharama kubwa kisa tu ni ili asihojiwe na polisi wa Tanzania
Wananchi hawataki pesa zao za walipa kodi zitumike kiharamu kumnunua Dereva amgeuke Lisu afundishwe propaganda haramu za kishetani atengeneze story feki kuwahadaa watanzania, wananchi wamechoka pesa zao kutumika kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa wanataka maendeleo, hii pesa inayotumika kuwanunua wapinzani kulazimisha CCM kupendwa kwa gharama kubwa hawataki, habari za Dereva wa Lisu acha kupoteza mda wananchi wana Akili kuliko wewe unayedhani hiyo ni hoja wakati siyo hoja kabsa
 
Imeweza kuendelea 'Kutawala' na itaendelea 'Kuitawala' Tanzania kwa miaka '10,000' ijayo na uwepo wa Rais Dk. Magufuli una Faida Kimaendeleo.
CCM haitawali kwa ridhaa ya wapiga kura inatawala kwa kuubaka kunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani kwa msaada wa NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm vyombo binafsi vya CCM
 
Wa wachache sana watakuelewa...wengi humu wako kishabiki na ki-chama.
Watu humu wana Akili nyingi kuliko wasaka uteuzi wa CCM ambao wengi ni wavuta Bangi waliojitoa fahamu zote
 
Kucheza na akili za watu wa chadema ni rahisi sana,
Mtu yupo pekee yake chumbani, anahutubia viti, alafu nyie mnahadaika!
Au ndiyo anahutubia bunge la Ulaya kama mnavyodanganywa kila siku!
Haina uhusiano na Tuzo hayo yako ni maneno ya mkosaji
 
Kwa Tanzania yenu tu kuwa na Mtu mwenye 'IQ' kama yangu yenye Mchanganyiko wa Kitutsi, Kizanaki Kimakuwa na ya Kiyao ni Faida Kubwa mno.
Kama wewe huko CCM ndiyo mwenye Akili wakati ni mbumbumbu juha zuzu kilaza, je? Wengine watakuaje? Si watakuwa mazezeta kabsa? Una maana unamzidi akili Le mutuz na cyprian Musiba wajinga wakuu wa CCM? Nani alikudanganya una IQ kubwa? au yule dada poa ulimpa offer ya chips?
 
Watetezi wa CCM wameamka tokea Gheto kwa Le mutuz na Cyprian Musiba wanaposhinda wakivuta Bangi msitegemee kujibu hoja zozote zaidi ya kujiandikia maneno ya mkosaji tu, watetezi wa CCM wengi wanawaza uteuzi ndiyo maana wanajiandikia chochote kama bahati nasibu wakivizia uteuzi
 
Uteuzi umewafanya CCM wote wakitoa fahamu zote
 
View attachment 1646533
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu...

Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo...

Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri...
View attachment 1646534
Okey hiyo award itaisaidia vipi wananchi was kawaida katika uchumi wao kwa ujumla, ikiwemo madawa hospitalini na madawati shuleni...Kama tuzo hiyo haina connection na jamii humu umeileta ya Nini..maana hayo mambo ni yake binafsi..sisi watanzania Wala hatuna haja ya kusikiliza story zozote za kisanii sanii..aendelee kuishi na usanii wake kule na Amsterdam wake na wazungu wake waliompa uraia wa ukimbizi...
 
Watetezi wa CCM wameamka tokea Gheto kwa Le mutuz na Cyprian Musiba wanaposhinda wakivuta Bangi msitegemee kujibu hoja zozote zaidi ya kujiandikia maneno ya mkosaji tu, watetezi wa CCM wengi wanawaza uteuzi ndiyo maana wanajiandikia chochote kama bahati nasibu wakivizia uteuzi
They are confused individuals. Wameona mtaji wa kuteuliwa ni kutukana na kutusi sana wapinzani.
 
Okey hiyo award itaisaidia vipi wananchi was kawaida katika uchumi wao kwa ujumla, ikiwemo madawa hospitalini na madawati shuleni...Kama tuzo hiyo haina connection na jamii humu umeileta ya Nini..maana hayo mambo ni yake binafsi..sisi watanzania Wala hatuna haja ya kusikiliza story zozote za kisanii sanii..aendelee kuishi na usanii wake kule na Amsterdam wake na wazungu wake waliompa uraia wa ukimbizi...
Kununua covid 19 kuwanunua wapinzani kutumia mabilioni kuihujumu kuidhoofisha wapinzani inasaidia nini wananchi wa kawaida? Unawaza uteuzi mpaka umejitoa fahamu zote, kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji kwa wapinzani huleta madawa Hosptal? CCM kulazimisha kupendwa kwa gharama kubwa inaisaidia nini Taifa? au wewe ni mnufaika wa udhalimu wote wa CCM?
 
Tunasubiri aliyekwenda Canada naye apewe ujira wake!
 
Hiyo ni heshima kubwa sana kwa Tanzania na ni vema kama tungejuzwa ni wangapi wamewahi kutunukiwa tuzo hiyo.

Japo wengine kwa upumbavu wao wanadhihaki na kuleta siasa za kijinga za vyama lakini sisi tunaojitambua tunaona fahari kubwa kwani japo nchi kwa sasa inatawaliwa kiimla lakini kuna watu ambao bado wanaweza wakasimama na kuupinga huo utawala wa kidikteta.

Hongera sana Lissu tunakupa kongole✋
 
Mwambieni atazoa 'Tuzo' sana tu za hao 'Mabeberu' wake wanaomtuma ila Tanzania 'Rais' ni Dk. Magufuli na Chama Tawala ni cha 'CCM' tu pekee.
Kwani thread inasema kuwa Rais sio Magufuli?. Mbona watanzania wazito na mna uelewa hafufu?.
 
Ni kweli wanacheza na akili hata za kwako

Leo mnasubiria chanjo ya corona toka kwa mzungu

Mzungu anawatengenezea mpaka simu

Unatumia magari ya mzungu

Wewe unachojua maishani mwako ni kulala na kuamka basi

Mchana unapiga pambio za kusifu, Hufikirii uvumbuzi na ugunduzi

Ahaaa unawaza mabeberu wamsaidie dawa za presha Baba yako huko kijijini kwa kushusha bei ili NHIF waingize kwenye dawa za msingi

Kuna muda mwanangu akichoka kuangalia katuni huwa nampa simu asome vichekesho vya kwako unavyoandika hapa JF
Well said bro
 
Back
Top Bottom