PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukiwa Unachangia Jitahidi Sana Kutumia Hoja zako kwa Nafsi ya Kwanza Umoja..
Na Nafsi ya kwa Wingi sio Yako ni Yetu sote..Na Inapendeza Usiitumie kwa sababu hujui mawazo yangu
 
Tujikumbushe kwanini Lissu yuko hapo Kisutu
Your browser is not able to display this video.

Ni kwasababu hizi👇
Your browser is not able to display this video.
 
Katika moja ya hotuba zake za kuwatetea Wananchi alisema kuwa anategemea kukamatwa na kubambikiwa kesi lakini alisema yuko teyari.
Alishasema yoote na akatoa ufafanuzi jinsi wapigania Uhuru na Demokrasia walivyoshinda.

Infact huwezi kuchukua Nchi kilelemama. Anayopitia Tundu Lissu na wenzake ndio Price yenyewe na Soon atakuwa Rais JMT.
 
Ukiwa Unachangia Jitahidi Sana Kutumia Hoja zako kwa Nafsi ya Kwanza Umoja..
Na Nafsi ya kwa Wingi sio Yako ni Yetu sote..Na Inapendeza Usiitumie kwa sababu hujui mawazo yangu
Mimi najua hata wewe tuko pamoja
 
Utaandamanaje na mme wako na huyoo mtoto mchanga uliemzaa nani atakaa nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…