Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Lissu ni habari nyingine kabisa [emoji1478][emoji1478]
Mkuu BAK kama uko karibu naye, au wafuasi wake, mwambie/waambie nafasi anayegombea siyo ya Serikali za Mitaa. Anachofanya kwa sasa kuzunguka mitaani, pamoja na kuhatarisha maisha yake (kumbuka amekuwa akidai usalama wa maisha yake kwa jeshi la polisi na usalama wa taifa), ni kichekesho. Vijana wa mjini wanamwona kama kinyago vile.

HAKIKA LISSU ni mwanasiasa uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…